Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Kuna mmoja mmiliki wa city Garden na aliwahi futurisha Wateja wake kwa offer mule City garden restaurant na mm nikiwemo.Hii habari yaonyesha imekuuma sana...ila huna la kusema kisa umekaririshwa.
Basi..hao watu wenyewe huwajui...halafu isitoshe...mtanzania n mtanzania tu...wacha ubaguzi...mbna moh dewji na akina harmonize mnawakumbatia
Totally Benadir person acha ubishi