Sipendi huu unyonge wa serikali ya Jubileengozi nyeusi kwa tamaa ya pesa
Dah! Najaribu ku-imagine, hivi corona ikilipuka Afrika Mashariki si tutakwisha kama kuku wenye sotoka!...Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.
Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
Sio wakenya tu hukuona video ya KIA wachinku kibao wanapokelewa ati ni utalii.Wakenya huo ugonjwa mnaoutafuta kwa bidii mjue kabisa mkiupata mnatuweka kwenye wakati mgumu. ..
Ni njaa ya aina gani mlionayo apo northern [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnaupumbavu mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba tycoon corona haimpati?Hao ni ma tycoons wa kichina. Unadhani mchina wa hovyo hovyo anaweza kutoroka china sasa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakufa sote Kama manduguWakenya huo ugonjwa mnaoutafuta kwa bidii mjue kabisa mkiupata mnatuweka kwenye wakati mgumu. ..
Ni njaa ya aina gani mlionayo apo northern [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnaupumbavu mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, sio unyonge wa aina yeyote ile. Tutakufa sote kwasababu ya tamaa ya pesa. KQ walisitisha safari zote na connection kutoka China ila jirani zetu na shirika lao Ethiopian Airlines wamekataa. Niliona hadi rais Uhuru Kenyatta akiwasihi hivi majuzi wasitishe safari hizo. Pale Bole Int. Airport, Addis wanapokea abiria 4,000 kutoka China kila siku, 40% ya abiria wote bara hili kutoka China! Alafu hao hao abiria wanasafari hadi kwenye nchi zingine ukanda huu na Afrika kwa ujumla. Sijui kwanini waafrika tunadhani kwamba hatuwezi kufa kwasababu ya virusi vya COVID-19(Corona).Sipendi huu unyonge wa serikali ya Jubilee
mungu waepushe wa kenya na hili janga ili tusikose miraUngese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.
Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
Pesa mbele mauti nyuma..Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.
Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]