A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

Corona ni mtaji wa fisadi kuu - Kenyatta.
Wakenya 1 million wakipata huu ugonjwa hio ni biashara ya $10bn, madawa vitanda etc
 
Na once ikijulikana kama kuna coronavirus kenya basi ujue tanzania tutawazuia kuingia nchini kwetu
Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.

Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Wakenya huo ugonjwa mnaoutafuta kwa bidii mjue kabisa mkiupata mnatuweka kwenye wakati mgumu. ..
Ni njaa ya aina gani mlionayo apo northern [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnaupumbavu mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni serikali yetu, sio sisi wananchi. Usituweke kwenye chungu kimoja na hii serikali yetu maembe. Halafu hili dude Corona limeshatinga Nigeria jana usiku. Wacha sasa uone jinsi Corona itakoroga waafrika.
 
Kwa hili, tuupe muda tu...tutaskia ushafika Ukanda wote huu! Hatari hii.
 
Kwa hivyo wewe senge unataka Ethiopian watuletee Corona huku Kenya?
Mchina hawezi kukuletea Corona choko wewe kama Uhuru! kati ya China na Ethiopia wapi kuna Corona Virus so far? Huu unafiki wenu una asili ya Uchoko uliokubuhu! Sababu ipi ilifanya Uhuru kuinyoshea kidole Ethiopia na sasa kuna direct flights kati ya China na Kunyaland? Au mna dawa ya Corona Virus!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptx
 
Wakenya huo ugonjwa mnaoutafuta kwa bidii mjue kabisa mkiupata mnatuweka kwenye wakati mgumu. ..
Ni njaa ya aina gani mlionayo apo northern [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnaupumbavu mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio tatizo lenu unafiki wa kuelekeza kidle na kujisahau mpo humo humo, halafu bora sisi tunakemea serikali, nyie MaCCM hata hili la kupokea Wachina kwenu mnalisifia, mjifunze kutoka kwa Wakenya huwa tunajua wapi pa kuchora mpaka, nini cha kusifia na kipi cha kuponda au kuagiza kirekebshwe, hatupo kama mazombie wa kuunga juhudi kama vipofu. Ona hapa mnavyowapokea kwa raha zao

https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/02/2308576_VID-20200216-WA0014.mp4

 
Na once ikijulikana kama kuna coronavirus kenya basi ujue tanzania tutawazuia kuingia nchini kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mngeanza na hawa, ila jeuri ya kuwakataa hamna maana na nyie tamaa ya vihela vyao imewafumba macho, na bora sisi tunakemea, nyie mpo mpo tu mnakenua na kuwapokea.

 
February 28, 2020
Nairobi, Kenya

Habari za korona



Source: KTN News Kenya
 
Back
Top Bottom