Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.
Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
Ni serikali yetu, sio sisi wananchi. Usituweke kwenye chungu kimoja na hii serikali yetu maembe. Halafu hili dude Corona limeshatinga Nigeria jana usiku. Wacha sasa uone jinsi Corona itakoroga waafrika.Wakenya huo ugonjwa mnaoutafuta kwa bidii mjue kabisa mkiupata mnatuweka kwenye wakati mgumu. ..
Ni njaa ya aina gani mlionayo apo northern [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnaupumbavu mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa haubagui tabaka wala rangi ya ngozi. Vice president wa Iran ameipata. Next kuipata atakuwa Trump.Hao ni ma tycoons wa kichina. Unadhani mchina wa hovyo hovyo anaweza kutoroka china sasa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina hawezi kukuletea Corona choko wewe kama Uhuru! kati ya China na Ethiopia wapi kuna Corona Virus so far? Huu unafiki wenu una asili ya Uchoko uliokubuhu! Sababu ipi ilifanya Uhuru kuinyoshea kidole Ethiopia na sasa kuna direct flights kati ya China na Kunyaland? Au mna dawa ya Corona Virus!Kwa hivyo wewe senge unataka Ethiopian watuletee Corona huku Kenya?
Wakenya huo ugonjwa mnaoutafuta kwa bidii mjue kabisa mkiupata mnatuweka kwenye wakati mgumu. ..
Ni njaa ya aina gani mlionayo apo northern [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnaupumbavu mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na once ikijulikana kama kuna coronavirus kenya basi ujue tanzania tutawazuia kuingia nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app