Inavutia
Lengo lako lilikuwa nini? Na hao watz wote mlikutana huko huko ama kulikuwa na mradi flani? Ni kozi ya muda gani?
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
mshana hr how did you survive then!!??.
Kuna siku unakuwa free mwenyewe!!!?.
Ukimaliza kuna recognition yoyote mkuu???.
Nini kaz za Buddha master????!
Nan anatoa ghalama za hapo???
asante kwa taarifa.Nenda mtaa wa Mindu Muhimbili/upanga kuna temple pale utapata utaratibu wote
Kuna faida gani kujifunza dini ya budha katika maisha halisia ya mtaani, pia je ni kweli budha wanaweza kukuponyesha ugonjwa wako kwa kukuchorea rangi kisha ukishaziona rangi hizo unapona?je yesu na mtume wamezungumziwaje katika imani ya budha
Kwa hiyo wewe ni Budhist? Na je hiyo elimu ni elimu gani kuhusu vitu hivyo? Does it relate to God? Any downloadable books kupata idea ya hiyo elimu??
Mkuu hujanijibu Post yangu hapo juu
Uliweza kufanya levitation?
Mkuu Buddha hawaamini katika Mungu ,wanaamin nn???!.
Je Maisha yake ya utawa unaweza kuyaendeleza kwenye maisha haya ya sasa!!!??
Ipi misingi yao ya imani??!
Philosophy ya Buddhism ni kuamini katika nafsi(self) na final goal ni kufikia level ya enlightenment, level aliyofikia Buddha mkuu Sakyamuni Buddha
Lakini kiukweli Buddhism ni dini ya kuabudu miungu na masanamu
Sakyamuni Buddha-kiongozi mkuu
Kuan-yi pussa- Buddha with thousands hands, a helper, a saviour etc
Bodhisattva's ni sawa na malaika lakini kwenye level ya high cast
Arahants-wasaidizi wa bodhisattva's
Heavenly beings
Wanadamu
Wanyama
Mapepo (hungry ghosts)
Unaweza ukapractice lakini ukifanya kweli kwa kweli unaweza kuonekana mwendawazimu mchawi etc