A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Inavutia

Lengo lako lilikuwa nini? Na hao watz wote mlikutana huko huko ama kulikuwa na mradi flani? Ni kozi ya muda gani?

Lengo kuu ilikuwa ni kupata first batch itakayofundishwa imani ya kibudha Africa(missionaries)
Wote tulitoka hapa bongo tena baada ya kupitia mchujo mkali kutoka watu 300+mpaka 21
 
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi

Gharama zipoje?
 
mshana hr how did you survive then!!??.

Kuna siku unakuwa free mwenyewe!!!?.

Ukimaliza kuna recognition yoyote mkuu???.

Nini kaz za Buddha master????!

Nan anatoa ghalama za hapo???

-tulikuwa na free moja siku ya Jumatatu lakini baada ya sessions za asubuhi yani kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 17:50
-Kuna vyeti kwasababu tulisoma na masomo ya kawaida ya fani tofauti
-kazi za Master ni kufundisha Buddhism na meditation na fani nyingine yeyote aliyosomea
-Disciples wa Buddhism ndio waligharamia kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Kuna faida gani kujifunza dini ya budha katika maisha halisia ya mtaani, pia je ni kweli budha wanaweza kukuponyesha ugonjwa wako kwa kukuchorea rangi kisha ukishaziona rangi hizo unapona?je yesu na mtume wamezungumziwaje katika imani ya budha

Ubudha ni ni imani ni dini ya upande wa pili yaani upande ule usioamini katika Mungu mkuu (atheism)
Kwenye Buddhism kuna vitu vingi vinajumuishwa humo vikiwemo supernatural powers meditation yoga nk
Hivyo ishu ya rangi ni ishu ya supernatural powers kwa jina la budhism-angalia tamthilia maarufu ya Journey to the west
 
Safi sana Mkuu
Hivi kwa hapo mtaa wa Mindul wanaabudu hata waswahili? Mi ningependa kujifunza kidogo ninapopata nafasi.
 
Kwa hiyo wewe ni Budhist? Na je hiyo elimu ni elimu gani kuhusu vitu hivyo? Does it relate to God? Any downloadable books kupata idea ya hiyo elimu??

Mkuu hujanijibu Post yangu hapo juu

Mimi sio Buddhist kwasasa kwa taarifa za kina fika Mindu street upanga ni karibu na Muhimbili hapo utapata full package
 
Mkuu Buddha hawaamini katika Mungu ,wanaamin nn???!.

Je Maisha yake ya utawa unaweza kuyaendeleza kwenye maisha haya ya sasa!!!??

Ipi misingi yao ya imani??!

Philosophy ya Buddhism ni kuamini katika nafsi(self) na final goal ni kufikia level ya enlightenment, level aliyofikia Buddha mkuu Sakyamuni Buddha
Lakini kiukweli Buddhism ni dini ya kuabudu miungu na masanamu

Sakyamuni Buddha-kiongozi mkuu
Kuan-yi pussa- Buddha with thousands hands, a helper, a saviour etc
Bodhisattva's ni sawa na malaika lakini kwenye level ya high cast
Arahants-wasaidizi wa bodhisattva's
Heavenly beings
Wanadamu
Wanyama
Mapepo (hungry ghosts)

Unaweza ukapractice lakini ukifanya kweli kwa kweli unaweza kuonekana mwendawazimu mchawi etc
 
Philosophy ya Buddhism ni kuamini katika nafsi(self) na final goal ni kufikia level ya enlightenment, level aliyofikia Buddha mkuu Sakyamuni Buddha
Lakini kiukweli Buddhism ni dini ya kuabudu miungu na masanamu

Sakyamuni Buddha-kiongozi mkuu
Kuan-yi pussa- Buddha with thousands hands, a helper, a saviour etc
Bodhisattva's ni sawa na malaika lakini kwenye level ya high cast
Arahants-wasaidizi wa bodhisattva's
Heavenly beings
Wanadamu
Wanyama
Mapepo (hungry ghosts)

Unaweza ukapractice lakini ukifanya kweli kwa kweli unaweza kuonekana mwendawazimu mchawi etc

Kwa hiyo hiyo level ya enlightment ukifika ndo unakuwaje? Na je kuna wengine waliofika hiyo level tofauti na huyo mkuu???
Utawezaje kuamini katika nafsi then uabudu miungu? Kind of confusing
 
Back
Top Bottom