A day in the Buddhist college

Asante sana mkuu mshana jr,kwa kunikumbusha hili
 
Nikiwa mkweli sijawahi fuatilia uzi wowote hapa jf kama nilivyofanya kwenye huu izi.

Mkuu mshana jr pongezi nyingi kwako kwa ujasiri huu wa kijitoa kutufahamisha mambo yalivyo katika dunia hii.maana wengine tangu tulivyo zaliwa tukayakutatuliyoyakutaa basii tujua kua ndo hayohayoo.

Unapokua na nyuzi za aina hii usinipite unapo watag wengine.Thanks mshana jr
 
Asante sana mwanadome tafanya hivyo
 
Shukrani mkuu
Sorry sikuingia Jeiefu muda kidogo

Kwa kiasi fulani mshana jr kashakujibu...

Zaidi neno "Han" linamaanisha jamii ya watu ambao ni kabila kubwa sana huko Uchina, yaani zaidi ya 90% ya Wachina ni "han people"...

"Yu" humaanisha lugha...

Hivyo kwa umoja "hanyu" humaanisha lugha izungumzwayo na watu wa jamii ya "Han" na ndiyo Simplified Chinese au Mandarin...
 
Asante sana kwa ufafanuzi wa ziada umekuwa adimu sana jukwaani
 
Baada ya mafunzo yoteee hayo je unaamin katika natural power?unaamn katika Mungu wa israel,YEsu? Unaongelea vipi mambo ya mizimu ya afrika baada ya kusoma?je unaamin katika after life?
Upo Afrika una amini juu ya Mungu wa Israel..upo timamu wewe [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Yule aliekua akiongea na yesu wakati yesu alipofunga siku arobaini alikua shetani au lucifer manake kuna mtu kasema shetan ni roho embu fafanua kidogo apo
 
Mshan jr hongeraaa

Mm ni maswali in Gawanya sijui labia yameulizwa

1 wakatii unatorokaa Kuja kujirushaa mjini ulikikuanaa vijana mkatofatiana na kujenga u adui Sasa maswali yangu

A. Kisaa cha ugomvi wenu ulikua nini
 
Yule aliekua akiongea na yesu wakati yesu alipofunga siku arobaini alikua shetani au lucifer manake kuna mtu kasema shetan ni roho embu fafanua kidogo apo
Shetani ni roho shetani hana umbo kamili na huweza kumuingia ama kukaa popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…