A day in the Buddhist college

Baada ya masomo yako uligundua nini? Je unaitumaje elimu uliyopata?
Nadhani samahani kwa kumjibia mkuu mshana ila nafikiri itakuwa ni kwa ajili ya kutujibu yale maswali yetu magumu humu kuhusu maswala yale yasiyojulikana mfn ulozi na mambo mengine kama hayo
 
Nadhani samahani kwa kumjibia mkuu mshana ila nafikiri itakuwa ni kwa ajili ya kutujibu yale maswali yetu magumu humu kuhusu maswala yale yasiyojulikana mfn ulozi na mambo mengine kama hayo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]
 
Karibu upate maarifa mapyaView attachment 1200534
Binafsi ningependa kupata maarifa mapya kutoka kwako.. Ni vibaya kwa Mkristo kufanya meditation? Binafsi niliichukulia kwa mtazamo hasi, lakini baada ya kupata elimu hii kutoka kwa rafiki, kuna mengi nimejifunza. Maombi ya kimya yana nguvu kuliko nilivyodhani, yana nguvu ambazo hazina shaka. Je? Kuna ulazima kila kitu kwenda kwa Mchunngaji, Mwinjilisti ama kiongozi awaye yote kufanyiwa maombi? Maana naona hii imepelekea watu kuwa watumwa kuliko inavyoonekana na wengi. Naamini maombi binafsi yananguvu sana, hasa ukijua kuomba, ni bahati mbaya pia kuwa watu hawafundishwi namna ya kuomba kama inavyotakiwa..
 
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
KWAHIYO WEE USHAPIGWA MHURI WA KUWA BUDDHIST NA JE UKIFIKA MBINGUNI KWA MUNGU UTAMWAMBIA MAMBO HAYO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…