A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Babu M shana Jr, nikuulize kama unamfahamu Eric alikuwa anakaa Upanga, mlikuwa nae pamoja, na yeye aliiingia Budhist hiyo miaka ya tisini akapelekwa South mpaka China
Yeah namfahamu vema.. Yuko Dubai kwasasa.. Kwenye harusi yake nilikuwa best man wake
 
Yeah namfahamu vema.. Yuko Dubai kwasasa.. Kwenye harusi yake nilikuwa best man wake
Shukran sana, aah Eric rafiki yangu sana, tokea utotoni upanga mpaka shule Jitegemee, basketball kwa sana, mara ya mwisho walihamia Morroco K'ndoni, una contact zake, nitashukuru sana
 
Shukran sana, aah Eric rafiki yangu sana, tokea utotoni upanga mpaka shule Jitegemee, basketball kwa sana, mara ya mwisho walihamia Morroco K'ndoni, una contact zake, nitashukuru sana
Ngoja nizitafute takutumia
 
Ina maana levitation hamkufundishwa? Levitation ni uwezo wa kutawala gravitational forces na kuelea juu ya maji nahisi chuo chenu kilikuwa fake pole sana
Mbona kabla hajakujibu Swali Umeshaconclude kuwa chuo ni fake? Nadhani hajaweka kila kitu humu
 
Mara ya pili nausoma huu uzi.
Duh...hivi Nini kilikushawishi kwenda kusoma haya madude!?
 
Mkuu, sasa ulikuwa unajifunzaje hiyo kitu...ilihali ulikuwa unajua mbeleni kuna kuwekwa vidoti na kuwekwa muhuli???

Yaani ulikuwa una practise lakini steps za mbeleni ulikuwa huzitaki???

By the way; thank you kwa kutuongezea maarifa.
Ya mbeleni sikuyafahanu kabla
 
attachment.php

Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.

Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.

Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!

Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.

05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga

05:50 parade/rollcall

06:00-0650 chanting/meditation

06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto

07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast

07:20-07:50 usafi

07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani

Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50

11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining

-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula

12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika

13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50

15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo

16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk

16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc

17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining

18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner

18:50-19:00 parade roll call

19:00-20:50 darasani

20:50-21:50 meditation/chanting

21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga

Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.

View attachment 274159
Mkuu naomba uni tag uzi wako wa utofaut kati ya shetani na Lucifa . Nimeutafuta jukwaa lakini sijauonaa... mshana
 
Mkuu Mshana Jr , ndio nimemaliza kusoma huu uzi mwanzo mwisho...huu uzi ni hatari, ni kama game of thrones fulani.. Nina maswali mengi if you dont mind...ningeomba kama unaweza ungeongezea nyama nyama pale kwenye kanisa la shetani....kwa uelewa wako, ni kweli kwamba kwenye hizo secret society huwa wanaonana uso kwa uso na lucifer mwenyewe? Je kwenye Buddhism pia mnaonana/mnawasiliana na lucifer...
... Pia ningependa kujua kuna connection gani kati ya hilo kanisa la shetani na Buddhist?....
 
...pili, ulizimia kwa takribani muda gani, na je baada ya kuzinduka kuna vitu gani vingine viliendelea?... Tatu, did they keep contacting you tena baada ya ile siku ya ibada?... Nne, je uli escape vp kwenye huo mtego wa kuwa agent wao?
 
Mshana Jr ,hiyo dini ndio freemason? It would be interesting kama ungetupatia uzi unaolezea connections/differences kati ya freemasonry, Buddhist na hiyo dini ya shetani?
 
Mkuu Mshana Jr , ndio nimemaliza kusoma huu uzi mwanzo mwisho...huu uzi ni hatari, ni kama game of thrones fulani.. Nina maswali mengi if you dont mind...ningeomba kama unaweza ungeongezea nyama nyama pale kwenye kanisa la shetani....kwa uelewa wako, ni kweli kwamba kwenye hizo secret society huwa wanaonana uso kwa uso na lucifer mwenyewe? Je kwenye Buddhism pia mnaonana/mnawasiliana na lucifer...
... Pia ningependa kujua kuna connection gani kati ya hilo kanisa la shetani na Buddhist?....
Asante kwenye haya makanisa unakutana na wawakilishi wa Lucifer tuu... Ni kama walivyo viongozi wengine wa kiroho kwenye imani zingine
Hakuna connection kati ya dini ya mashetani na Buddhism kwakuwa moja inahubiri utu wema nyingine ukatili
 
Kwa kweli sikumbuki ila haukuwa muda mrefu sana..
Baada ya pale sikujua sana kilichoendelea huko nyuma japo nina uhakika walijaribu kunifuatilia... Nilipofanikiwa kufika chuoni wiki iliyofuata nilisafiri nje ya South... Wale jamaa hawakuwahi kunitafuta tena

Back
Top Bottom