A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Umekuwa kimya ndugu yangu, vip hujaona jumbe pm?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
.
235989_1.jpeg


Jr[emoji769]
 
Ni kweli kabisa ukizama sana kwenye hiyo self being ni kama kumuabudu lucifer
Chi ni vital power ila inakuja kuwa kama spirit kwakuwa unaweza kufanya mambo mengi zaidi ya matendo ya kawaida ya mwanadamu
Naomba kufahamu tofauti Kati ya VITAL POWER na SPIRITUAL POWER

Mshana Jr

Kizibo
 
Dini lakini basi tu
Watu wanaabudu sanamu (China,India) lakin bado Mungu wetu amewabariki wao kuliko sisi ngozi nyeusi tunaojifanya tunaijua sana dini (kuna wanaomlilia Mungu na wanaojitoa mhanga kwa ajili ya Mungu)! Mambo ya dini wakati mwingine ni kizungumkuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
Mkuu habari
Mpaka sasa wewe ni budha?
 
Back
Top Bottom