A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

I can't compare.. Am on my self cultivation.. Seeking enlightenment... My perfection and compassion to all living creatures..for a better world... Am beyond comparison opinions
Buddha vs Muhammad who's better ;honest opinion

Jr[emoji769]
 
I can't compare.. Am on my self cultivation.. Seeking enlightenment... My perfection and compassion to all living creatures..for a better world... Am beyond comparison opinions

Jr[emoji769]
You are looking for enlightenment and compassion to all creatures... Who can lead you there better budha or Muhammad(pbuh)?
 
[emoji123][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba maana ya hii picha mkuu
tapatalk_1582501801272.jpeg
 
Uzi mzuri sana huu, nimepita tangu ulivyotolewa Mwaka 2015 hadi leo. Ahsante Mshana Jr. kwakunileta huku.

Umenipa shauku zaidi ya kujua mengi huko kwenye nyuzi zingine, za mtiririko huu.

Ahsante kwa Elimu,

Nim cheka maiti kudindisha wakati mdogo, nilisikia maiti kumuangalia vibaya na kwa jicho Kali, aliyesafikika kuwa amemtoga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]

Jr[emoji769]
 
Kuna swali nilitaka kukuuliza nimelisahau toka 2016 ila haya siyasahau.
1.hivi buddha wanatumia calendar ya kipagani au wana calendar yao?
2.je mwaka wao una miezi mingapi? Majina ya miezi yao na idadi ya siku kwa mwezi mmoja ?
3.je wana mwezi mtukufu au siku bora ktk mwezi kama vile waislamu ijumaa au jmo/jpili kwa wakristo?
Nalog off
 
Hapana kalenda inayotambulika rasmi ni hii ya kizingu.. Hakuna siku rasmi sana labda ile ya kuzaliwa kwa Buddha
Buddhism ni kitu kinachobadilika kulingana na mila japo misingi hubaki kuwa ileile
Sisi South Africa tulikuwa tunapumzika Jumatatu kwakuwa Jumapili ilikuwa siku moja busy sana kutokana na wingi wa wageni wanaokuja kutembelea tempo

Ahsante sana. Jé? Huwa mnafanya funga japo mbili tatu au hakuna funga kabisa.
Nalog off
 
Back
Top Bottom