Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana Jr ,hiyo dini ndio freemason? It would be interesting kama ungetupatia uzi unaolezea connections/differences kati ya freemasonry, Buddhist na hiyo dini ya shetani?
mkuu Mshana Jr,wakati upo chuo south africa ulisema mlikuwa mkitoroka kwenda mjini kui enjoy maishaa, pesa ya matumizi mlikuwa mnatolea wapi wakati kila kitu mlikabidhi chuoni na huduma zote mlikuwa mkizipata hapo
[emoji106]Tulikuwa tunalipwa kila mwezi.. Lakini pia kwenye temple tour za weekend kuna baadhi ya wageni walikuwa wanatutoa..
Dah, hatimae nimemaliza uzi mzima hongera sana Mshana Jr.
Umesema ulienda kusoma sababu ya interest, vipi hiyo interest uliitoa wap kwa mara ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]niliitoa moyoni mkuu
Jr[emoji769]
Ikaja tu moyon? Yaa ulisikia wap habar za Budhasm kwa mara ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa majibu murua.Nilisoma kwenye vitabu vya hadithi na simulizi za kichina
Jr[emoji769]
Ahsante sana kwa majibu murua.
Kuna ombi nimekutumia PM naomba msaada wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa kimya ndugu yangu, vip hujaona jumbe pm?[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]ok nitafika huko baadae usijali
Jr[emoji769]