A day in the Buddhist college

Great thread mkuu mshana jr mm ni mlutheri pure je! Mm naweza kujifunza japo napata kigugumizi na hizo meditation zinaruhusiwa katika dini yangu sitaki kuuacha ukirsto nataka niongeze maarifa tu
 
Great thread mkuu mshana jr mm ni mlutheri pure je! Mm naweza kujifunza japo napata kigugumizi na hizo meditation zinaruhusiwa katika dini yangu sitaki kuuacha ukirsto nataka niongeze maarifa tu
Unaweza bila shaka ila tu ujue kutenganisha hizi imani mbili
 
Tabia mbaya tu, msituache wenzenu jamani! Niko interested sana na haya mambo hata sijui kwanini! ?
Watu wengine ni wabinafsi sana sijui analeta humu kwa faida ya Nani aisee,niheri angebaki na ujuaji wake kuliko kuleta humu harafu anatucheka tusiojua pathetic [emoji34]
 
Yaani utadhani unanisema mm yaani sielewi chochote maana mshana Jr anatumia baadhi ya terminology ngumu kumuelewa aisee ila nimesoma kila comment kila Aya [emoji1]
 
Mshana Jr unatukusea sana wasomaji wako jitahidi kuelezea vizuri yaani unapapasapapasa tu hadi kero unamaanisha nini unaposema kulikuwa kunatokea vibration ukiingia kanisani??[emoji15][emoji24]
 
Mshana Jr unatukusea sana wasomaji wako jitahidi kuelezea vizuri yaani unapapasapapasa tu hadi kero unamaanisha nini unaposema kulikuwa kunatokea vibration ukiingia kanisani??[emoji15][emoji24]
Nitafanya hivyo panapohitaji ufafanuzi usijali
 
Somo tosha, Mshana hongera kwa kujua mengi. Hata kanisa katoliki lina mashirika yenye sheria kali. Naona kama kuutesa mwili hasa hisia. Kuna hatari ya kuzuka ushoga na usagaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…