Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupenda sana kung fu wala karate, nilibase kwenye Tai chi (vital power) ambayo haina mikanda
Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Duu najihisi sipo mpweke tena wewe ni intake ipi? Njoo pm tutete kidogo
Sisi ndio baada ya South tulienda kule kwenyewe nk
Kule kwenyewe wapi?
Halafu nataka kujua, kuna viapo vyovyote mnafanya?
Kuna siri ambazo mnatakiwa kutozitoa kwa wengine hata kama umeacha Ubudha?
Mi nna hamu ya kujua chakra zinavyofanya kazi and how to awaken them. Mkuu mshana inakuhusu hii?
Interesting story...again thanx for sharing!
mshanajr naomba kujua baadhi ya viapo ambavyo ukivisema kwa watu vinakudhuru!
Unajua Buddhism ni dhehebu moja kubwa saana na ndani yake kuna sects nyingi kutegemeana na mahali hizo chakra ziko kwa wahindi na wahindu zaidi
Lakini kwa ufupi ni kwamba ni zile sense tano kisha ile ya sita mpaka ya nane hizi tatu ni topic moja kubwa na complicated
Kati ya viapo vyote kiapo cha damu ndio kibaya kuliko vyote, kwakuwa damu inabeba uhai, damu ni alama ya uhai hivyo damu ni roho....viapo vya damu huishi
Nikumbushe next week nitakuonyesha sample
Baada ya masomo yangu hayo naamini katika vyote ulivyotaja hapo juu
-naturalpowers zipo na kuna watu wanazimiliki kiasili huku wengine ikiwa ni kwa njia ya kupractice (rejea makala za Pasco)
-naamini katika Mungu mmoja na Yesu Kristo kwakuwa hii ndio imani niliyozaliwa na kukua nayo kuisoma na kuikubali
-naamini katika mizimu ya kiafrika enzi za mababu zetu, kwakuwa ilikuwepo na kufanya yaliyotakiwa, mizimu ni roho na roho zipo hazifi
Naamini maisha baada ya kifo kwa maana ya rebirth na reincarnation