A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Sasa huduma za haki za msingi za binadamu ilikuwaje.........?.......nadhani siwezi kusoma hapo........sina vigezo.........

Mmmh........aisee.........

Ndio maana ratiba ilikuwa ngumu na ya kuchosha mno, kwa jinsi mambo tulivyokuwa hakukuwa na jinsi hata ya kujisikia "hamu"
Na hata ukisingizia ugonjwa au ukiumwa kweli huruhusiwi kulala bwenini unaingia darasani unalala kwenye dawati lako utakachosamehewa ni parade tuuu
 
Baada ya mafunzo yoteee hayo je unaamin katika natural power?unaamn katika Mungu wa israel,YEsu? Unaongelea vipi mambo ya mizimu ya afrika baada ya kusoma?je unaamin katika after life?
 
hahaha aisee! But seriously hii ratiba ni ngumu sasa mshana jr kwanini parade na roll call ilikuwa kila mara? Hapo kny sacrifice kwa hungry ghost ni kitu gani mlifanya? Interesting indeed thanks for sharing

Lengo kubwa ilikuwa kuleta discipline ya mind, kushapen mind, kuitesa mind iache kuishi kwa mazoea, ukiangalia kulikuwa na rollcall na parade zisizo pungua kumi kwa siku, wallah hata segerea sio hivyo
Buddhism inaamini katika reincarnation na kwamba kuna wanadamu walifanya mambo mabaya sana hivyo hawastahili tena kuzaliwa binadamu, kwahiyo wanaishi kwenye jehanam ya mateso makuu na hawawezi kula wala kunywa kwakuwa kwenye makoo yao kuna moto hivyo kwa kufanya hiyo ritual ya chanting ilikuwa ni kuupoza ule moto ili japo kipite chakula na Maji kidogo
 
Last edited by a moderator:
Watu wanaabudu sanamu (China,India) lakin bado Mungu wetu amewabariki wao kuliko sisi ngozi nyeusi tunaojifanya tunaijua sana dini (kuna wanaomlilia Mungu na wanaojitoa mhanga kwa ajili ya Mungu)! Mambo ya dini wakati mwingine ni kizungumkuti.
Sooth
'Na anaye fanya juhudi (jihad !), basi bila shaka anafanya kwa ajili ya nafsi yake. Hakika Allah si mhitaji wa walimwengu.

Qur'an: 29:6.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya mafunzo yoteee hayo je unaamin katika natural power?unaamn katika Mungu wa israel,YEsu? Unaongelea vipi mambo ya mizimu ya afrika baada ya kusoma?je unaamin katika after life?

Baada ya masomo yangu hayo naamini katika vyote ulivyotaja hapo juu
-naturalpowers zipo na kuna watu wanazimiliki kiasili huku wengine ikiwa ni kwa njia ya kupractice (rejea makala za Pasco)
-naamini katika Mungu mmoja na Yesu Kristo kwakuwa hii ndio imani niliyozaliwa na kukua nayo kuisoma na kuikubali
-naamini katika mizimu ya kiafrika enzi za mababu zetu, kwakuwa ilikuwepo na kufanya yaliyotakiwa, mizimu ni roho na roho zipo hazifi
Naamini maisha baada ya kifo kwa maana ya rebirth na reincarnation
 
umemaliza kila kitu mkuu kiasi hata kunikosesha swali la nyongeza la kukuuliza.
 
Back
Top Bottom