A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Hongera zako mshana jr kwa elimu nzuri kuhusu budhism na meditation maana wengine tulikuwa tuna tamani kufanya hivyo vitu bila kujua kuwa vina husiana na kuabudu sanamu na nguvu za giza.
 
Dah!! Umenikumbusha mbali sana. Mambo ya Tripitaka: Vinaya, Sutra, na Abhidharma.
Shelizi, se bu yi kong, kong bu yi se,
kong ji shi se, se ji shi kong. Kitu cha 'shin jing' hicho (heart sutra). Hapo unagonga 'muyu' kama huna akili nzuri vile.
Kwenye hiyo picha kama sikosei yule kule mbele ni "mzungu f@la".
Ila wacongo waliharibu sana, mpaka waafrica wote tukaonekana siyo.
Mkuu ulimaliza nyundo tatu???
 
Dah!! Umenikumbusha mbali sana. Mambo ya Tripitaka: Vinaya, Sutra, na Abhidharma.
Kong bu yi se, se bu yi kong
kong ji shi se, se ji shi kong. Hapo unagonga 'muyu' kama huna akili nzuri vile.
Kwenye hiyo picha kama sikosei yule kule mbele ni "mzungu f@la".
Ila wacongo waliharibu sana, mpaka waafrica wote tukaonekana siyo.
Mkuu ulimaliza nyundo tatu???

Duu najihisi sipo mpweke tena wewe ni intake ipi? Njoo pm tutete kidogo
Sisi ndio baada ya South tulienda kule kwenyewe nk
 
wapi unafundisha mkuu?je unapofundisha pamesajiliwa?kama panatambulika serikalini mkuu nakuhakikishia ntakuja na marafiki zangu tunaosoma nao university

wapi unafundisha mkuu?je unapofundisha pamesajiliwa?kama panatambulika mkuu je gharama ni shl ngapi? nahitaji hayo mafunzo mkuu

Situlii sehemu moja ndugu yangu, na hiyo nafanya kama hobby tu sina sehemu rasmi na kwakweli nina mishemishe nyingine ila tunaweza kupanga
Siwezi kuchaji chochote lakini vema mkaenda pale Mindu street upanga kuna madarasa kila Jumapili asubuhi
 
Hii story imenirudisha mwaka 2000 mwanza
Ndugu wa mpangaji wetu alirudi kutoka masomoni na kukuta wenyeji wake wamehama
Nilikuwa la saba na hakuweza kunisimuliza zaidi ya kunionyesha picha kwa kuwa alisema nisinge elewa
Na alipewa video kama zawadi kwa miaka iyo ilikuwa kitu kikubwa sana
 
Back
Top Bottom