A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Nimependa ulivo jibu maswali uliyo ulizwa,
Vip ajira ama fulsa za kujiajiri zinawezekana au ni kwa faida ya nafsi namaanisha faida binafsi
 
Ajira zake huku kwetu ngumu lakini huko kwa wenzetu zipo
 
Kumbe mpaka hapa tz na africa dini ya budha ipo,
Nilijua ni india na china tu !
Je wale wahindi wanaoabudu ngombe,picha nk
Na wao ni wabuddha au ?
 
Unanikumbusha mbali enzi za Bodhighaya Bronkhosprit

attachment.php

Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.

Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.

Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!

Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.

05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga

05:50 parade/rollcall

06:00-0650 chanting/meditation

06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto

07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast

07:20-07:50 usafi

07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani

Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50

11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining

-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula

12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika

13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50

15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo

16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk

16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc

17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining

18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner

18:50-19:00 parade roll call

19:00-20:50 darasani

20:50-21:50 meditation/chanting

21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga

Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.

View attachment 274159
 
Picha zifuatazo ni za kituo cha watoto yatima wanaojifunza meditation na Buddhism kiko Mtaa wa Mindu nyumba ya tano ukichepuka toka UN Rd kama unaelekea sealander
IMG-20170511-WA0015.jpg
IMG-20170511-WA0013.jpg
 
IMG-20170511-WA0014.jpg
kwahiyo hatimaye Tanzania kimeweza kufunguliwa kituo kisichotoza malipo Lakini kimeanza na watoto yatima
Kwa wale wapenda meditation wanaweza kufika hapo kupata utaratibu wote
 
View attachment 508357kwahiyo hatimaye Tanzania kimeweza kufunguliwa kituo kisichotoza malipo Lakini kimeanza na watoto yatima
Kwa wale wapenda meditation wanaweza kufika hapo kupata utaratibu wote
Amitofo! Namuona Pannasekara. Hii lazima Nan Hua Si au Fo Gwang Shan wamwage mpunga sana hapa. Go Dharmma, go Dharmma gooooo!!.
 
attachment.php

Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.

Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.

Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!

Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.

05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga

05:50 parade/rollcall

06:00-0650 chanting/meditation

06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto

07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast

07:20-07:50 usafi

07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani

Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50

11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining

-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula

12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika

13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50

15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo

16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk

16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc

17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining

18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner

18:50-19:00 parade roll call

19:00-20:50 darasani

20:50-21:50 meditation/chanting

21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga

Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.

View attachment 274159

Nimeanza kukuelewa mkuu... kila kitu kina chanzo.
 
Mmh tutakuwa tunafahamiana
Hahahahaaa! Yes my Dharma brother. Se ji si kong, kong ji shi se, se bu yi kong, kong bu yi se (form is empty, empty is form, form is not empty, empty is not form). Dah! I wish i could turn back the hands of time.
 
Mpaka nimesisimka ulikuwa intake gani?
Amitofo, hahahahaha!. Wazee wa midle path. Inabidi tuwafundishe watu Dharmma ili wafunguke jicho la tatu, waone vitu katika uhalisia wake. Nikiangalia dunia ya leo, Dharmma is the only hope iliyobaki ku-restore dunia back to default. Tho Buddha anasema "Dharmma si kwa kila mtu, ni kwa wale wenye causes and condition za Dharmma". Ila najua humu jf wapo wengi tu walau wataelewa somo.
Ila Buddhism amani sana. Mshana si unaona Chief monk hapo Upanga, yeye ni Theravada, lakini ana-promote Mahayana! Ni kama Askofu wa kikatoliki afungue shule ya kuendeleza Lutheran church. Atapigwaje mawe.......hahahahahahahhahahaa!
 
Amitabha....!!! Nimeshajua chanzo cha ugomvi wao mpaka wanataka arudishwe Sri Lanka..... But always Mahayana ni gari kubwa
BTW swali la msingi hukujibu
 
Sidhani kama wataweza kumtoa pale. I guess hati za Mindu ziko kwa jina lake.
Mimi ni intake ya 97 mkuu. Tulipokelewa na kichwa hicho...Hwei Mu. Alikuwa bikuni makini sana ila inasemekana alikuwa na makandokando yake. Ali-disrob 97 hiyohiyo kama sikosei. Nilikuwa karibu sana na Tumbotumbo. Alikuwa ananipenda sana, akiniona tu.....utamsikia...."Ben Infopaedia guo lai". Basi atanichapa Dharmma hapo mwanzo mwisho. Nika-turn kuwa mfuasi wake, lakini ki-underground fulani, as you know sheria za pale. By the way, 97 you were gone already.
 
Pale alikuwepo wa kwanza aliyetupokea ni Vima/ Vimalajothi mpiga dili fulani m Sri Lanka, alivua robes 98 ndio Panyasekera akachukua uongozi
Mimi ni wa intake ya kwanza 96 ....
 
Back
Top Bottom