Bondemania
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 103
- 39
Je waweza kunuia mambo mazuri kwa kutumia hicho kiappo cha damu,say nataka kuweka agano na Mungu Mkuu Jesus Christ kuhusu wealth,health etc?Ni kiapo chochote cha kunuizia kwa kutumia damu mbichi ya mnyama au binadamu
Unapoimwaga kuinywa au kujipakaza au kuipakaza mahali kwa namna yeyote ile huku ukinuizia hiki ndio kiapo cha damu
Zamani ilikuwa kuna kula yamini kati ya wapenzi ndugu au marafiki yani mnajikata vidole vyenu kidogo kisha mnavigandamiziana, kutengeneza unganiko la milele... Hiki ni kiapo cha damu pia
Kuna wengine hujikata na kuitumia damu kama wino na kuandika mambo mabaya kisha kuiweka ile karatasi kwenye Maji na kuyanywa, wengine huyamwaga au kuyapeleka mtoni