Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,412
leo asubuhi nikiwa katikati ya jiji la mwanza naanza anza weekend, nimekutana na sura ambayo si ngeni machoni mwangu lakini sikuwa na uhakika, so kama kawaida nikamwambia samahani mdada nahisi nimekuona sehemu (sijui alihisi nataka kuanza swagga za watoto wa mjini)... akaniuliza wapi? sikuwa na jibu, nikaanza mayb mtandaoni akacheeka...
anyways kumbe ubongo wangu una ram kubwa sikuwa nimekosea alikuwa ni Elizabeth Dominic, basi ikabidi tukae sehemu tupate kinywaji huku tukifahamiana zaidi hehehhehehhe
i admit nimekutana na wanajf kadhaa ila huyu mhhhhh, kwa haraka haraka yeye ni...
1.boss yes she's The Boss
2.charming lakini hamfikii wife wangu charminglady
3. SHE'S DOWN TO EARTH
4. SHE'S FUNNY
anyways nisimpe sifa sana mpaka mama watoto apate wasiwasi,
i really enjoyed having time with you Elizabeth Dominic i hope we meet again hehehehe
what the great way to start my weekend
NB: wakati ndio sasa komaa na huyu, yuko single (usiseme kwa sauti wasikusikie)

Last edited by a moderator: