A day with Elizabeth Dominic

A day with Elizabeth Dominic

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,412
leo asubuhi nikiwa katikati ya jiji la mwanza naanza anza weekend, nimekutana na sura ambayo si ngeni machoni mwangu lakini sikuwa na uhakika, so kama kawaida nikamwambia samahani mdada nahisi nimekuona sehemu (sijui alihisi nataka kuanza swagga za watoto wa mjini)... akaniuliza wapi? sikuwa na jibu, nikaanza mayb mtandaoni akacheeka...

anyways kumbe ubongo wangu una ram kubwa sikuwa nimekosea alikuwa ni Elizabeth Dominic, basi ikabidi tukae sehemu tupate kinywaji huku tukifahamiana zaidi hehehhehehhe

i admit nimekutana na wanajf kadhaa ila huyu mhhhhh, kwa haraka haraka yeye ni...
1.boss yes she's The Boss
2.charming lakini hamfikii wife wangu charminglady
3. SHE'S DOWN TO EARTH
4. SHE'S FUNNY

anyways nisimpe sifa sana mpaka mama watoto apate wasiwasi,
i really enjoyed having time with you Elizabeth Dominic i hope we meet again hehehehe

what the great way to start my weekend

NB: wakati ndio sasa komaa na huyu, yuko single (usiseme kwa sauti wasikusikie)
 
Last edited by a moderator:

Huyo nilishaanza kutupia maneno lakini sijaona hata dalili natamani niombe msaada kwa MENTION Madame B anisaidie kumpata huyu boss
 
Last edited by a moderator:
leo asubuhi nikiwa katikati ya jiji la mwanza naanza anza weekend, nimekutana na sura ambayo si ngeni machoni mwangu lakini sikuwa na uhakika, so kama kawaida nikamwambia samahani mdada nahisi nimekuona sehemu (sijui alihisi nataka kuanza swagga za watoto wa mjini)... akaniuliza wapi? sikuwa na jibu, nikaanza mayb mtandaoni akacheeka...

anyways kumbe ubongo wangu una ram kubwa sikuwa nimekosea alikuwa ni Elizabeth Dominic, basi ikabidi tukae sehemu tupate kinywaji huku tukifahamiana zaidi hehehhehehhe

i admit nimekutana na wanajf kadhaa ila huyu mhhhhh, kwa haraka haraka yeye ni...
1.boss yes she's The Boss
2.charming lakini hamfikii wife wangu charminglady
3. SHE'S DOWN TO EARTH
4. SHE'S FUNNY

anyways nisimpe sifa sana mpaka mama watoto apate wasiwasi,
i really enjoyed having time with you Elizabeth Dominic i hope we meet again hehehehe

what the great way to start my weekend

NB: wakati ndio sasa komaa na huyu, yuko single (usiseme kwa sauti wasikusikie)

Ushatangaza ushenga mazee!
 
Bwana C6 u av confirmed my suspicions... Elizabeth Dominic popote ulipo kanijibu kuleeeeee...
 
Last edited by a moderator:
leo asubuhi nikiwa katikati ya jiji la mwanza naanza anza weekend, nimekutana na sura ambayo si ngeni machoni mwangu lakini sikuwa na uhakika, so kama kawaida nikamwambia samahani mdada nahisi nimekuona sehemu (sijui alihisi nataka kuanza swagga za watoto wa mjini)... akaniuliza wapi? sikuwa na jibu, nikaanza mayb mtandaoni akacheeka...

anyways kumbe ubongo wangu una ram kubwa sikuwa nimekosea alikuwa ni Elizabeth Dominic, basi ikabidi tukae sehemu tupate kinywaji huku tukifahamiana zaidi hehehhehehhe

i admit nimekutana na wanajf kadhaa ila huyu mhhhhh, kwa haraka haraka yeye ni...
1.boss yes she's The Boss
2.charming lakini hamfikii wife wangu charminglady
3. SHE'S DOWN TO EARTH
4. SHE'S FUNNY

anyways nisimpe sifa sana mpaka mama watoto apate wasiwasi,
i really enjoyed having time with you Elizabeth Dominic i hope we meet again hehehehe

what the great way to start my weekend

NB: wakati ndio sasa komaa na huyu, yuko single (usiseme kwa sauti wasikusikie)

Jamani C6 ndio mambo gani sasa?....................it was unexpected na surprise nzuri mno.................lakini sikutegemea yafike hapa...............lol
 
Bora ameyaleta katuthibitishia uzuri ulonao hata nilivyokupenda nimejua sijakosea kumbe sio mimitu niliyeona uzuri wako.nitakupenda milele
 
Elizabeth Dominic unaona soko lako limepanda sasa ivi sio uanze kunilalamikia huapti mwanaume wa kueleweka, hawa hapa sasa wameshaanza kutangaza nia hehehhehehehheheh
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haya sasa uje useme una gundu mara siwezi kupenda tena nimeumizwa mara ooooh watu hata hawanitukani................Mchumba huyo changamka
 
Back
Top Bottom