Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Umepaniki Bro.Nakuuliza tofauti ya MTU mwenye kichaa na wewe ni nini maana MTU mwenye kichaa hujiona na kusema yupo hrwani wakati anatembea ardhini.
Nimekwambia biblia Nina iamini lakini sihitaji Biblia kujua uwepo wa Mungu, Biblia kwa anayejua kufikiri inaeleza ukuu wa Mungu na haikutegemea kuwa iwe kitabu cha kufundishia Jiografia wala fizikia.
Wewe unauliza na kutaka ujibiwe kana kwamba biblia ni kitabu cha jiografia na fizikia.
Wewe ndiwe wajidai kwa kuweka ulivyokaririshwa pasipo kuweka na kujibu maswali...
Nimekwambia niambie chanzo cha Universe na Uhai unaongea habari za process kwenye evolution na big bang nani alifanya hivyo vilivyo bang ?
Acha kushusha kariri zako lete majibu
Hebu fuatilia comment zangu kwako. Sasa huyo mungu unayemsema hahusiani na biblia na wewe ni mkristo wewe umemjuaje huyo?
Halafu kwanini biblia isiongee mambo ya jiografia na fizikia? wakati neno hilo ni la mungu na limehakikishwa halina upungufu? nikisema unaamini usichokijua nitakuwa nimekosea? au nikisema uoga wako wa imani ndio unakufanya uogope kitu ambacho hakipo utakuwa na la kujitetea?
Mimi ninakupa ujumbe mzito na wewe unaleta maelezo mepesi mepesi. Hebu jaribu kidogo kutafakari na usipotezee hizo pointi ninazo kuambia. Wenzako wengi wanakuona mtu wa ajabu sana maana hutoi reference yeyote. Au basi elezea tukio lolote ulilowahi kukumbana nalo au kusimuliwa linahusiana na uwepo wa hako kamungu kako.