Naungana mkono hoja yako 100% wanaobisha wabishe ila huo ndio ukweli, uwepo wa Mungu upo kinadharia zaidi, Mzungu aliandika biblia ili kuifanya dunia iwe sehemu ya amani tu lakini alikuja kuieneza Afrika ili kuogofya waafria na kuwafanya inferior ili iwe rahisi kuwatawala.
Angalia
- Mungu mweupe (mzungu)
- Malaika weupe(wazungu)- shetani mwausi(mwafrika)
- Manabii wote walikuwa wazungu
- Yesu mzungu
- Utamaduni wao hadi wakutembea uchi ni baraka- wetu sie waafrika sio wakistarabu
- Baraka zote zipo kwao- laana Afrika
Hivi kweli hakuna hata mweusi mmoja ambaye mungu alimuona kipindi hicho akambariki??????
Lazima tukubali biblical theory ilienezwa sana baada ya wazungu kuona Charles DArwin kaja na Evolution theory hali ilionesha mwafrika ni mtu wa kwanza kuishi katika sayari ya dunia, hapo ndipo walipojifanya kuja kuieneza sana dini ukizingatia walihofu kipindi cha industrial rev isingekuwa rahisi kupata cheep lobour kama wasingetumia biblia. ukweli biblical theory is just a myth, uwepo wa mungu pia ni dhahania tu.