Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Aya Mkuu. naomba unijibu yale maswali.
Haya uliza maswali yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya Mkuu. naomba unijibu yale maswali.
Swali zuri.
But jee unaangalia na athari baina ya hayo makundi?
So, ukiristo ni nini?
Watu walioelimika vizuri wanategemea akili na maarifa yao kuishi wala hawasali.Inamaana watu wanaoamini dini hadi sasa bado hawajajua mazingira yao na kuweza kuyatawala? hebu tuthibitishie hilo.
Watu walioelimika vizuri wanategemea akili na maarifa yao kuishi wala hawasali.
Athari kwa maana ya madhara au ni athari ipi?
Asieamini hanaathari but hizi dini zinatengeneza uzezeta kwa baadhi ya watu!!!!! Unaweza mkuta mtu kajaa hofu ya Allah mpaka anakuwa mtumwa!!! Inakuaje mtu anafikia kukata suruali yake na kufuga madevu mpaka kuamua kutojichanganya na watu? Wengine kuliwa hela zao wakiamini zinakwenda kwa bwana? teh teh teh!
Haya bhan!
Kwanini Allah amesema aliumba ardhi na mbingu bila ya kueka nguzo!!! Mbingu nini hata iekewe nguzo?
Ukitaka aya sema.
Kristo ni neno lenye maana nabii/masihi/mteule/aliyepakwa mafuta n.k.
Maana zipo nyingi nzuri ila hazimaanishi Dini.
Yesu kristo ni nabii/masihi Yesu.
Ukristo ni unabii,utume...
Yesu alikuja kuendeleza mafundisho yalioanza kufundishwa toka enzi za adamu,nuhu,Musa,Ibrahim..
Kama hao nao walikua wakristu basi ukristo ni Dini. Ila kama hawakuwa wakristo basi ukristo sio Dini.
Dini ipo na mafundisho yake yalianza toka enzi za adam.
Dini ya kweli ipo.
Fanya utafiti kati ya mafundisho ya Yesu, Muhammad.Musa,nuhu,Adam na metume wengine.utagungua lao moja.
Je,hili moja ni ukristo au Uislam?
Naamini utatuletea majibu!
Kila la kheri ktk kazi yako ya utafiti.
Pia fanya utafiti utakufa lini?
Jiulize inakuwaje umelala ilala lakini unaota ndoto upo magomeni! Je,wakati unaota huwa unajitambua kuwa unaota? Au huwa unaona ni dhahiri unatenda?
Je, uliyelala naye huwa anajua kuwa unaota?
Basi huo ni mfano maisha baada ya kufa.
Aliyelala anajiona yuko shamba analima,wakati jirani yake aliyelala naye anamuona kalala anakoroma.hana analolifanya.
Hivyo hivyo watu waliokufa vipo vitu vinavyowashughulisha.Dini zimebainisha.ila tulio hai hatuoni.kama ambavyo huwa hatuoni mtu anapoota.
Amini kuna maisha ya kirohi.
Ukisema huamini ndoto ntastaajabu kidogo!
Kuhusu kufufuka baada ya kufa.
Washafufuliwa wengi tu,kwenye utafiti wako utakua umegundua hilo.
Ila Je, ukilala huwa unajipangia kuwa sasa niamke,au huwa unajikuta tu umeamka?
Huwa unajipangia kwamba sasa nisinzie au huwa unajikuta tu umesinzia.
Ukiafikiri hili,utajua upo ufufuo.
Endelea kufanya utafiti japo kila nafsi inajijua.
Mkuu ni mimi niliweka mada ila sikuweka kama unavyoiona sasa. ni mods ndio wameicompile, infact sio jambo baya. hata mimi nimependa. ila nimeweka bayana kupitia mada hiyo kwamba mtu achague kipengele anachoona hakiko sahihi kwa mtazamo wake ili tujadili.
Anyway. vitabu kujieleza kuwa vinatoka kwa Mungu, tena Mungu wa kweli na mkamilifu then tukaona mushkeli hapo lazima tuulize ukamilifu wa Mungu huyo ni upi.
Then mkuu umegusia suala la shetani hapo. Jee shetani ni kiumbe or ni theory?
FATHER OF REALITY nnamaana kubwa sana nilipokuuliza whether shetani ni kiumbe or ni theory.Shetani, or wahtever name you call it, is not a theory, is real. Yaani kitakachokuwa na utata au maswali ni dhana "shetani" na jinsi inavyofafanuliwa, lakini si uwepo wake, swala la uwepo, tayari limejibiwa miaka mingi sana katika uhakiki wa uwepo wa visivyoonekana vyenye uhai. Shida ipo katika dhana, je mbaya, mzuri, ni kweli adui, au yeye naye ni mtawala tu tofauti na Mungu na wote wapo chini ya nature, hayo ndo maswali ambayo watu wanadebate, nayo yamezaliwa toka dabate ya evil and good by their nature.
SHETANI YUPO, ishu ndo hiyo, je wote tunadhana moja juu ya huyo shetani. Mfano wale wenye uhusiano naye kiibada, wanaona shetani ni jina tuu, na ni mzuri, maana wana define ndani ya huyo, hivo wanamkubali, hatuwi na dhana moj juu yake.
Katika debate hii, nimeuliza swali la mihimu sana juu ya dhana fulani kuwa ya kilimwengu popote. Mfano, dhana juu ya WEMA, UBAYA, MUNGU NA SHETANI. Hebu tafakari hilo, kama hujanielewa unitaarifu, ili nikueleweshe naamanisha nini hasa.
AU KWA KIINGREZA;
- Why, the concepts like Culture, Good, Evil, God and devil are universal, and every society had these concepts on their own?
- Why humans bother to create things which are not existing all over the world and in different cultures at different time?
- Why the so called myths for invisible creatures and what are they for in human life?
NB: When people whom you know are wise and intelligent in other issues complicate on simple things, you have to question in a more complex way why so.
FATHER OF REALITY'S SAY.
watu wanaosali wanategemea miujiza zaidi kuliko akili na maarifa yao. kwa kua hakuna miujiza watu hao ni rahisi kuzolewa na makuhani wengine kama wachawi wanapokosa majawabu kwenye imami zao. walioelimika vizuri wanatafuta majawabu ya wasiyoyajua kisayansi.Watu waliyoelimika vizuri ndiyo kama nani hao? Na kwani watu wenye kuswali huwa hawatumi akili na maarifa ktk maisha yao?
watu wanaosali wanategemea miujiza zaidi kuliko akili na maarifa yao. kwa kua hakuna miujiza watu hao ni rahisi kuzolewa na makuhani wengine kama wachawi wanapokosa majawabu kwenye imami zao. walioelimika vizuri wanatafuta majawabu ya wasiyoyajua kisayansi.
sielewi ufahamu wako ila unaweza kugoogle 'dialectical materialisms' unaweza kupata idea kuhusu msingi wa falsafa ya kutoamini uwepo wa mungu kama tunavyofunzwa na dini.Kwa kifupi mkuu maelezo yako nimeshindwa kuyaelewa ni nini hasa unachokikusudia kukisema.
sielewi ufahamu wako ila unaweza kugoogle 'dialectical materialisms' unaweza kupata idea kuhusu msingi wa falsafa ya kutoamini uwepo wa mungu kama tunavyofunzwa na dini.
mambo ya kuamini mungu ndio mambo ya kukariri. upande wa pili ni sayansi. kama unataka kuwaelewa hao wasioamini mungu 'etheists' google utapata darasa la kutosha kuhusu falsafa yao.Tatizo si ufahamu wangu ila ni ufahamu wako kwa sababu ya kukariri ndiyo maana umeshindwa kueleza ili mtu aweze kuelewa.
mambo ya kuamini mungu ndio mambo ya kukariri. upande wa pili ni sayansi. kama unataka kuwaelewa hao wasioamini mungu 'etheists' google utapata darasa la kutosha kuhusu falsafa yao.