FATHER OF REALITY nnamaana kubwa sana nilipokuuliza whether shetani ni kiumbe or ni theory.
Unfortunately umejibu upande mmoja kwamba shetani sio theory but hukusema kwamba ni kiumbe.
Hapo underline umeweka hizo noun kwamba zipo group moja (dhahania) i failed to understand wether 'wema na ubaya' vinashabihiana na 'Mungu na shetani' but if vinashabihiana, jee unaweza kusema wema na ubaya sio theory ila ni viumbe pia?
Kwanza kabisa ningependa uelewe shetani na jini ni vitu viwili tofauti. Jini ni viumbe hilo liko wazi hata ktk vitabu vya dini. Jini haonekani but kunaproof za kutosha juu ya uwepo wao.
Linapokuja suala la ni nini or ni nani shetani nikubaliane nawe kwamba hapo kuna maana tofauti sana kulingana na kundi fulani.
Embu tuangalie wakiristo wanatafsiri vipi nadharia ya shetani.
Source ni malaika muasi, alietaka kushondana na Mungu. Jee uwepo wa malaika umekuwa proved?
Also wanasema shetani ni roho. hii concept sijailewa not because sijui maana ya roho but kutokana na wao kushindwa kumuelezea. unaweza kuniweka sawa hapo.
Then ikiwa source ya shetani ni malaika, then shetani si kiumbe ila ni sifa aliyopewa huyo Malaika Muasi.
Ktk Uislamu idea ya shetani iko wazi, kwamba "shetani ni mtu or jini yeyote alietoka (alieondoka) kwenye misingi ya Mungu (Allah). hivyo basi katika uislamu shetani si kiumbe ila ni 'SIFA' Shetani wa kwanza ktk uislamu ni IBLISI ambaye alikuwa Jini kabla.
Secular: Shetani ni myth. ukisoma development of criminology utakutana jamaa anaitwaaaaa...... (jina nimesahau) But Jina lake lina herufi "B, S, S nk. Mcheki katika classical theory ya criminology na penology.
Ilikua mnamo karne ya 16-17. watu wakifanya makosa wanasema walipitiwa na shetani by that time "mnipotent of evil spirit" Hiyo theory ilionekana defensive na yenye kupitwa na wakati na hapo kukaibuka theory nyingi za kupinga ikiwemo theory ya 'Free will'
Chaajabu hata sasa kuna waji.nga especially huku Afrika wanafanya manyago na kumsingizia huyo shetani.
FATHER OF REALITY waafrika tuna safari ndefu sana.
Bado tunaipinga KWA KUJUA OR KUTOJUA the theory of Free wills. Unamkuta mtu anagawanya matendo eti 'Ukifanya jema linatoka kwa Mungu na ukifanya baya linatoka kwa Shetani' We are stupi.d Africans. Tukisema hizi dini ni tatizo mnakuwa wakali baadhi yenu, yaani unamkuta mtu anasoma tabu moja la imani yake ndio hilo hilo! Mkuu jaribu hata kupitia hizo comment nyengine za waumini humu.
Cc:
Nkwesa Makambo.