Nyie mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumtetea huyo Mungu wenu nikuulize swali tnagu umeanza kusoma biblia hujakutana na mahali popote uka na wasiwasi.Kwa namna yako ya kufikiri wewe ni bonge la genius katika kundi la mazuzu. Una nukuu Kama kasuku huwezi kutafakari hata kidogo.
Nani kakwambia biblia ni kitabu cha kufundishia cosmology au Quantum physics ?
Nani kawalogeni ?
Nyie mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumtetea huyo Mungu wenu nikuulize swali tnagu umeanza kusoma biblia hujakutana na mahali popote uka na wasiwasi.
Binadamu yeyote anayefikiri vema lazima atakutana na maswali kadha wa kadha asomapo biblia, lakini mjanja akunapo na hoja ambazo uwezo wake kiakili unazikataa hutafuta ujuzi zaidi na tafiti au maelezo ya ziada kutoka kwa wengine akielewa maisha yanaendelea.
Mimi ninakushangaeni mnaojiona mnazo za kutosha kumtafuta Mungu kwenye vitabu mnaacha kumtafuta kwa kujiuliza mambo ambayo ni ya jumla Kama vile kuwepo kwa ulimwengu nani aliuweka, kuwepo kwako na uhai wako nani yuko nyuma yake au ni nini madhumuni au sababu za kuwepo kwako ? Nani kaweka hii kitu inaitwa maadili kwenye akili zetu ?
Ni ujinga kuanza kuhitumisha Mungu hayupo kwa kuwa ulikutana na andiko usilolielewa kwwnye vitabu vya dini.
Be grown up man, Mungu muumbaji yupo hata dini zisipokuwepo.
Ni kweli kujiuliza maswali ni jambo la muhimu na mababu zetu hapo zamani walijiuliza hayo maswali kuhusu origin yao na ulimwengu ikafika mahala wakashindwa kupata majibu kutokana na ufinyu wa teknolojia kwa kujifariji waka invent kitu kinaitwa mungu kwa kila swali lilikosa jibu sasa sayansi na teknolojia inazidi kukua tuachane na vitabu vya kale tujikite kutafuta ukweli mambo mengi yaliyokuwa hayawezekani miaka 20 iliyopita sasa tunayaweza hivyo tusiendelee kujificha kwa mungu kila mara tunapokosa majibu ya maswali yetu tukubali bado teknolojia yetu haijakua sana wajukuu zetu watajua mengi kuliko sisi na dini zitabaki historia.
cabhatica sijaelewa maana yako ya kuleta hiyo mistari, je lengo lake ni kupinga maelezo yangu niliyosema Nimrod ndiye mwanzilishi wa imani za uongo? Kama ndivyo, sema ili nidadavue.
Ficha ukosefu wa hekima wako (upum.bavu) Sayansi haina majibu ya maswali yote acha kujiongezea uj.inga.
Mimi nimekwambia Mungu ndiye Muumbaji na muwekaji wa physical constants zote wanazotumia wanasayansi ndiye mwanzilishi wa uhai.
Wewe unaleta habari za mungu wa wanasayansi "god of the gap " ndiye unamleta hapa.
Wanasayansi ni binadamu Kama wewe technolojia haitoi majibu binadamu Kama wewe ndio mnatakiwa kutoa majibu iwe kwa kutumia technoloji au vinginevyo.
Toa majibu hukusu chanzo cha maisha.
Toa majibu kuhusu wewe kwa nini upo Kama ni kweli upo
Toa maelezo ya mwanzo wa maadili.
Kama unakubali kuwa huko kusema kwako kuwa vitabu vya dini ni udanganyifu pengine yaweza kuwa ni kutokuelewa tu maana,sasa huoni kuwa ni bora ukasome vizuri hivyo vitabu na kupata maana halisi iliyokusudiwa kuliko kukurupuka na kuja kusema vitabu vya dini ni udanganyifu?
Bora ungesema unahitaji ufafanuzi ktk hivyo vitabu, lakini wewe unataka kuproof hivyo nitakapokuwa najaribu kukupa maana iliyokusudiwa wewe pia utaanza kutetea ulichokieleza matokeo yake itakuwa ubishi usio na mwisho.
Mkuu asiyeeleweka ni wewe,kumbuka mwanzo nilikwambia kuwa research yako nina mashaka nayo na ndipo tulipoanza kuangalia ulifanyaje hiyo research. Haueleweka, unakosowa mambo ya watu bila kueleza msimamo wako wewe ni upi?
ndio sayansi haina majibu hata biblia na quran havina majibu hivyo ni vitabu vya madai/claims na sio ushahidi/proof wanasayansi wanasema ulimwengu ulitokea miaka billion 13.8 na dunia 4.5 billion year ago contrary to the bible young earth theory, kwanza sipangani na wewe kuhusu mungu kuwa ni nguvu iliyoleta ulimwengu ninachokataa mungu anayesimuliwa na nyie wakristo na waislamu kwenye biblia huyo ana contradict sifa zake nyingi huyo simkubali.
Coz is he is a big liar and the most unreasonable one. Just ask for proof. i know you are christian.Hivi, how do you start doubting the presence of your Lord God
You cant proof Karucee but if you can, just go ahead.who created you from nothing, created the land and the Seas and all that is in it?
The Lord who gave us the breath of life and sent us books that may guide us on to the right path?
Nimeleta mistari hiyo ili wasomaji waelewe huyo Nimrod ni nani, alitoka wapi na pia wakitaka waweze kujua pia nguvu za Nimrod zilikotoka na hatima yake. Je waelewa chimbuko la ujenzi wa mnara wa Babeli na nafasi ya Nimrod? Je, na mwisho wake ulikuwaje?
Eeee Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe.... Mfalme wewe uliyetupenda nakuomba ukutane na mioyo ya watu wako wasio kujua wewe.... Uwazukie kama ulivyo mzukia sauli akielekea Damascus... Na jina lako likatukuzwe na kila nafsi ikaseme wewe ndiwe Ebenezer... Kwa niaba yao nasema utusamehe ... Amen
Nyie mbona mnatumia nguvu kubwa sana kumtetea huyo Mungu wenu nikuulize swali tnagu umeanza kusoma biblia hujakutana na mahali popote uka na wasiwasi.
Mashaxizo
Kadiri siku zinavyoongezeka na elimu inavyoongezeka ndivyo huyu mungu anavyozidi kuonekana si wa uhalisi na ametungwa tu.
Kuna maswali kuhusu logical consistency na the problem of evil nimeuliza hapa mpka leo sijapewa majibu ya kueleweka.
Mi acha tu niamini Mungu yupo nikamkose kuliko niseme hayupo afu mwisho wa siku nakutana naye kwenye kiti cha enzi kakunja nne yake huku akimimina Safari Lager... Hakyamama ntakimbilia wapi mimi mdhambi??Naungana mkono hoja yako 100% wanaobisha wabishe ila huo ndio ukweli, uwepo wa Mungu upo kinadharia zaidi, Mzungu aliandika biblia ili kuifanya dunia iwe sehemu ya amani tu lakini alikuja kuieneza Afrika ili kuogofya waafria na kuwafanya inferior ili iwe rahisi kuwatawala.
Angalia
Hivi kweli hakuna hata mweusi mmoja ambaye mungu alimuona kipindi hicho akambariki??????
- Mungu mweupe (mzungu)
- Malaika weupe(wazungu)- shetani mwausi(mwafrika)
- Manabii wote walikuwa wazungu
- Yesu mzungu
- Utamaduni wao hadi wakutembea uchi ni baraka- wetu sie waafrika sio wakistarabu
- Baraka zote zipo kwao- laana Afrika
Lazima tukubali biblical theory ilienezwa sana baada ya wazungu kuona Charles DArwin kaja na Evolution theory hali ilionesha mwafrika ni mtu wa kwanza kuishi katika sayari ya dunia, hapo ndipo walipojifanya kuja kuieneza sana dini ukizingatia walihofu kipindi cha industrial rev isingekuwa rahisi kupata cheep lobour kama wasingetumia biblia. ukweli biblical theory is just a myth, uwepo wa mungu pia ni dhahania tu.
Biblia hajawahi kusema kuwa dunia ni tambalale au kuwaingilia watoto wadogo,kama unaushahidi juu ya haya mawili na Mimi leo nitajiunga na ukafiri kama wewe,nathibitishie kwa kutumia biblia na sio kitabu kingine
Je itakuwa vipi unamwamini mungu na kumbe mungu unayemwamini ni mpinzani wa uhalisia. Kumbe ambaye humwamini ndiye aliyekuwa anatakiwa. Itakuwa vipi?Mi acha tu niamini Mungu yupo nikamkose kuliko niseme hayupo afu mwisho wa siku nakutana naye kwenye kiti cha enzi kakunja nne yake huku akimimina Safari Lager... Hakyamama ntakimbilia wapi mimi mdhambi??