Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Wewe huna point yoyote ungekaa kimya ungekuwa na maana sana. Kwanza unapenda kutukana hovyo hovyo. Wewe siyo mstaarabu, kwa hiyo hufai kwenye mijadara. Matusi yamejaa mdomoni mwako.
Mkuu Tz mbongo unaleta ubishi usio na tija coz nikisema vitabu vinadanganya hutaki na nikitaka niproof uongo huo hutaki pia!! kwani wewe unatakaje?
Nashindwa kukuelewa.
Msimamo wangu ni kwamba neither Bible nor Quran ni vitabu vya Mungu kwa maana nyepesi uislamu si dini ya kweli na ukiristo pia. Sababu kubwa ni kwamba Mungu hawezi kuwa Muongo sasa sielewi unachopinga ni nini wakati umeshindwa hata kusema wew unamuamini Mungu yupi or dini gani.
Mkuu hilo nimelielezea vizuri tu point no. 6 katika mada.
Jee unamanisha biblia huiamini?
Ikiwa unahisi ni wakiriato pekee ndio wanaweza kuitafsiri biblia vizuri huoni kwamba hata uislamu unaoukataa ni hivyo hivyo? coz hata Muialamu atawesema watu hawajui rules of interpretation pale wanapodoubt aya fulani imesema uongo or ni unreasonable! Hilo jambo nimelieleza point no. 5 ktk mada. Sasa itakuaje ikiwa wakiristo na waislamu wanataratibu zao za kutafsiri aya zao kiasi cha kupangua kila hoja mbele yao? jee hiyo itamaanisha uislamu ni sahihi na ukiristo ni sahihi pia? Hilo litawezekana vipi ukizingatia hizo dini zinatofautiana sana na Mungu wa wakiristo ni tofauti na yule wa waislamu?
Na aina hiyo ya kujadili mimi nahisi sio mzuri. utawaonanaje hawawezi kufikiri sawa sawa watu wanaopinga unachokiamini wewe?
kweli nimepoteza muda wangu kujibozana na mtu asiyejua kitu wewe ni moja ya wakristo wengi wajinga niliokutana nao chuo na wengine niko nao kazini mkipigwa swali nyie ni kuruka ruka tu huyo mungu wa kwenye bible na koran hayupo uwe na akili mkuu.
nakuuliza tena
adamu aliumbwa siku ya ngapi?
nenda kwenye kitabu cha luka jumlisha umri walioishi watu waliotajwa kwenye kizazi cha yesu mpaka siku aliyoumbwa adamu wenzako walifanya calculation wa ujinga wako unataka kunifundisha mimi utanifundisha nini nilishatoka huko mkuu sitaki stori za talking snake.
Mashaxizo
Kadiri siku zinavyoongezeka na elimu inavyoongezeka ndivyo huyu mungu anavyozidi kuonekana si wa uhalisi na ametungwa tu.
Kuna maswali kuhusu logical consistency na the problem of evil nimeuliza hapa mpka leo sijapewa majibu ya kueleweka.
Mashaxizo
Kadiri siku zinavyoongezeka na elimu inavyoongezeka ndivyo huyu mungu anavyozidi kuonekana si wa uhalisi na ametungwa tu.
Kuna maswali kuhusu logical consistency na the problem of evil nimeuliza hapa mpka leo sijapewa majibu ya kueleweka.
Coz is he is a big liar and the most unreasonable one. Just ask for proof. i know you are christian.
You cant proof Karucee but if you can, just go ahead.
Unaongea kiimani rather than fact wajango. embu ngoja nikuswalike. Jee Mungu anaweza kudanganya?
Hahahahaaaaa! Your mind had blocked on wrong path, ukiwa mvivu wa kushindwa kutafuta ukweli utashikiliwa akili yako na mapasta mpaka unakufa.
Ningependa nikuswalike swali moja tu.
Ivi ungekuaje leo usingezaliwa na wazazi hao waliokupandikiza hiyo imani? let say ungezaliwa na waislamu.
Bwana yesu atukuzwe. Haleluya.
Cc: Karucee
Hahahahaaaaa! Babu Asprin kumbe unapitaga kona hizi!!!
Anyway. Mkuu Mungu anaweza kuwepo kwa maana ya super natural power, but huyu anaeongelewa na waislamu na wakiristo hayupo coz ni muongo sana na ni mbaguzi. A real God hawezi kuwa na udhaofu especially udhaifu huo. Anaweza akawepo lakini hawezi kuwa na pirika za kutaka waumini wake waende makanisani na misikitini, hawezi kufagilia sifa za viumbe dhaifu, hawezi kukomand watu wakae na njaa kutoka asubuhi kali mpaka jioni na kubwa zaidi hawezi kusema uongo.
Wee jiachie tu Asprin mpango wa kudanganywa na kukatazwa vitam ndio sipenda.
Niliposema msimamo wako nilikusudia hadi msimamo wako juu kuamini uwepo wa mungu au hauamini?
Pili ni jambo lipi hilo ambalo ni la uongo?
Wewe ni Muumini wa dini gani?
Hope hilo swali nimeshakuuliza sana, ila hutaki jibu. si ujibu tu nikuekee uongo wa dini yako!!!
Research yako haijibiki kwa kuwa unamtafuta Mungu katika Mwili. Jaribu kumtafuta Mungu katika roho na kweli, Soma neno la Mungu ili umjue Mungu.Habari za hapa.
.
Biblia naimani. Toka Mwanzo hadi Ufunuo, Mimi sioni mapungufu wala makosa. Ninafahamu watu hawaelewi na hawajipi muda kutafuta ukweli juu ya wasio yaelewa ndiyo sababu nikakwambia sihitaji biblia kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Lakini Kama unahoja yoyote kuhusu chochote ndani ya Biblia niulize nitakujibu hapa.
Iwe kuhusu Uumbaji, kuanguka na ukombozi wa mwanadamu iwe huru , lakini angalizo ni kuondoa ulimbukeni kujifanya ni mjuzi na kukejeli kwa namna yoyote.
Ama kuhusu Uislam na Ukristo nakumbuka nimekufundisha pale uliposema mengi yanayohusu Yesu yanafanana kwenye Quran na kwenye Biblia.
Nikakwambia hayo unayoyaona machache pengine hayana uzito ndiyo msingi wenyewe wa Tofauti.
Usichotaka kuelewa ni nini ?
Mkristo ni Mkristo kwa kuwa anaamini juu ya kuteswa, kufa msalabani na kufufuka siku ya Tatu then kupaa mbinguni.
Ukiondoa kifo cha Yesu Kristo na kufufuka kwake mimi siwezi kuendelea kuwa Mkristo kwa kuwa HUO NDIYO MSINGI WA IMANI YA KIKRISTO.
hivyo Muislam ansposema Yesu Hakusulubiwa, Hakufa wa kufufuka anaweka tofauti ambayo ni dhahiri saw a na tofauti ya Giza na nuru...usichoelewa nini ?
Wa kufuta kauli ni mimi au wewe mpenzi?
Ok. mimi napenda twende taratibu na kwa vile umenipa ruhusa ya kukuuliza ningependa tuanze na swali hili;
Kwanini biblia inamatoleo mawili? mean agano kongwe na jipya.
Ok. mimi napenda twende taratibu na kwa vile umenipa ruhusa ya kukuuliza ningependa tuanze na swali hili;
Kwanini biblia inamatoleo mawili? mean agano kongwe na jipya.
Safi sana mkuu. always naaprishiate mtu mwenye ujuzi na maarifa na namkubali zaidi mtu anayeweza kureason.
Hapo umeongelea imani moja tu ya kikristo. Jee unaamini uislamu na dini nyengine sio sahihi? why?
Then ningependa kuuliza. Jee kwamtazamo wako unahisi Mungu anaweza kuongea uongo?
Nimekusoma mkuu but hapo underline bado sijakusoma vizuri.The Old Testament is revelation and law from God covering about the time from the creation of the earth to the time of Jesus' death on the cross. The New Testament is revelation and law from God covering about the time from Jesus' birth to His (future) second coming. It tells us that His Son, Jesus, came, lived, died, and arose so that believers on Jesus as the Christ might have eternal life. The New Testament also tells us, by both command and recorded example how we are to worship God today. The two portionscf God's will are so closely related it can be said about them that the Old is the New concealed and the New is the Old revealed. The Old Testament was preparatory, temporary, and limited. The New is complete, eternal, and universal. The Old Testament promised a New Testament (Jer. 31:31). The prophet Isaiah spoke of the days to come when the new law would go forth from Jerusalem (Isaiah 2:2-4). In the New Testament, the Apostle Paul stated that the law of Moses had been given until the seed, which is Christ Jesus, had come (study Galatians 3:19-27).
The New Testament is the will of Christ, its seal is Jesus' blood (Hebrews 9:15-17). The testator of this will is Jesus, God's Son. The inheritance is heaven. The terms are faith and obedience. The period of probation is the Christian age which will end when Christ returns. The beneficiaries are all men who accept the terms, and the executors of the will are the apostles.
This will could not come of force until Jesus' death, "For where a testament is, there must of necessity be the death of him that made it" Hebrews 9:16. Jesus' death marked the end of the old and the beginning of the new, for, "He taketh away the first that He may establish the second" Hebrews 10:9. Christians are discharged from the law and joined to Christ (Romans 7:4-6).