A God can be a mere theory, nothing more

A God can be a mere theory, nothing more

Wewe huna point yoyote ungekaa kimya ungekuwa na maana sana. Kwanza unapenda kutukana hovyo hovyo. Wewe siyo mstaarabu, kwa hiyo hufai kwenye mijadara. Matusi yamejaa mdomoni mwako.

Sikutukani, vile tu hujui kwamba ni moja ya Sifa kwa MTU Kama wewe.

Zaburi 14:1
"Mpumbavu asema moyoni hakuna mungu wame haribu matendo yao na kufanya chukizo hakuna atendaye mema."

Sasa baada ya kujua kwamba upumbavu ni Sifa kwako wala sio tusi kwa kadri ya maandiko rudi kwenye Quote weka hoja zako nikuonyeshe ulivyokaririshwa Yale ambayo wenzio wameachana nayo.
 
Mkuu Tz mbongo unaleta ubishi usio na tija coz nikisema vitabu vinadanganya hutaki na nikitaka niproof uongo huo hutaki pia!! kwani wewe unatakaje?

Nashindwa kukuelewa.

Najua ni vigumu kwako kunielewa na ni kwa sababu haya mambo ni magumu sana kwako kuelewa.

Unataka kuthibitisha udanganyifu uliyo kwenye vitabu vya dini,ndiyo nakuuliza una hakika na huo uthibitisho wako kwa madai yako ya kwamba vitabu vya dini vina udanganyifu?
 
Last edited by a moderator:
Msimamo wangu ni kwamba neither Bible nor Quran ni vitabu vya Mungu kwa maana nyepesi uislamu si dini ya kweli na ukiristo pia. Sababu kubwa ni kwamba Mungu hawezi kuwa Muongo sasa sielewi unachopinga ni nini wakati umeshindwa hata kusema wew unamuamini Mungu yupi or dini gani.

Niliposema msimamo wako nilikusudia hadi msimamo wako juu kuamini uwepo wa mungu au hauamini?

Pili ni jambo lipi hilo ambalo ni la uongo?
 
Mkuu hilo nimelielezea vizuri tu point no. 6 katika mada.

Jee unamanisha biblia huiamini?
Ikiwa unahisi ni wakiriato pekee ndio wanaweza kuitafsiri biblia vizuri huoni kwamba hata uislamu unaoukataa ni hivyo hivyo? coz hata Muialamu atawesema watu hawajui rules of interpretation pale wanapodoubt aya fulani imesema uongo or ni unreasonable! Hilo jambo nimelieleza point no. 5 ktk mada. Sasa itakuaje ikiwa wakiristo na waislamu wanataratibu zao za kutafsiri aya zao kiasi cha kupangua kila hoja mbele yao? jee hiyo itamaanisha uislamu ni sahihi na ukiristo ni sahihi pia? Hilo litawezekana vipi ukizingatia hizo dini zinatofautiana sana na Mungu wa wakiristo ni tofauti na yule wa waislamu?

Na aina hiyo ya kujadili mimi nahisi sio mzuri. utawaonanaje hawawezi kufikiri sawa sawa watu wanaopinga unachokiamini wewe?

Biblia naimani. Toka Mwanzo hadi Ufunuo, Mimi sioni mapungufu wala makosa. Ninafahamu watu hawaelewi na hawajipi muda kutafuta ukweli juu ya wasio yaelewa ndiyo sababu nikakwambia sihitaji biblia kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Lakini Kama unahoja yoyote kuhusu chochote ndani ya Biblia niulize nitakujibu hapa.
Iwe kuhusu Uumbaji, kuanguka na ukombozi wa mwanadamu iwe huru , lakini angalizo ni kuondoa ulimbukeni kujifanya ni mjuzi na kukejeli kwa namna yoyote.
Ama kuhusu Uislam na Ukristo nakumbuka nimekufundisha pale uliposema mengi yanayohusu Yesu yanafanana kwenye Quran na kwenye Biblia.
Nikakwambia hayo unayoyaona machache pengine hayana uzito ndiyo msingi wenyewe wa Tofauti.
Usichotaka kuelewa ni nini ?
Mkristo ni Mkristo kwa kuwa anaamini juu ya kuteswa, kufa msalabani na kufufuka siku ya Tatu then kupaa mbinguni.
Ukiondoa kifo cha Yesu Kristo na kufufuka kwake mimi siwezi kuendelea kuwa Mkristo kwa kuwa HUO NDIYO MSINGI WA IMANI YA KIKRISTO.
hivyo Muislam ansposema Yesu Hakusulubiwa, Hakufa wa kufufuka anaweka tofauti ambayo ni dhahiri saw a na tofauti ya Giza na nuru...usichoelewa nini ?
 
kweli nimepoteza muda wangu kujibozana na mtu asiyejua kitu wewe ni moja ya wakristo wengi wajinga niliokutana nao chuo na wengine niko nao kazini mkipigwa swali nyie ni kuruka ruka tu huyo mungu wa kwenye bible na koran hayupo uwe na akili mkuu.

nakuuliza tena
adamu aliumbwa siku ya ngapi?
nenda kwenye kitabu cha luka jumlisha umri walioishi watu waliotajwa kwenye kizazi cha yesu mpaka siku aliyoumbwa adamu wenzako walifanya calculation wa ujinga wako unataka kunifundisha mimi utanifundisha nini nilishatoka huko mkuu sitaki stori za talking snake.

Nami nilitaraji uhitimishe kwa jinsi hiyo maana umedandia kujipa utaalamu wa mambo usiyoyajua ulitegemea nami niingie kwenye mtego wa watu mnaolishana matango pori.
MTU unayependa ushahidi umetoa hoja unaulizwa ushahidi wa rejea ya hoja yako unatafuta uchochoro kukimbia.
Usikubali kukaririshwa pasipo kutafuta kweli ya unachokaririshwa .
Jibu maswali kwenye hoja uliyonukuu usitumie silaha ya mbio, acha utoto.

Wenzangu wakifanya calculation haimaanishi Mimi nakubaliana nao. Ficha upumbavu wako.
Uumbaji. Unapatika kwenye kitabu cha Genesis
Genesis 1:1
The Beginning
In the beginning God created the heavens and the earth.
Usipoelewa Genesis na vitabu viwili vinavyofuatia huwezi kulink na mafundisho ya Injili Mkuu.
 
Mashaxizo

Kadiri siku zinavyoongezeka na elimu inavyoongezeka ndivyo huyu mungu anavyozidi kuonekana si wa uhalisi na ametungwa tu.

Kuna maswali kuhusu logical consistency na the problem of evil nimeuliza hapa mpka leo sijapewa majibu ya kueleweka.

Unaonaje sasa wewe uwathibitishie mnachokidai?
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo

Kadiri siku zinavyoongezeka na elimu inavyoongezeka ndivyo huyu mungu anavyozidi kuonekana si wa uhalisi na ametungwa tu.

Kuna maswali kuhusu logical consistency na the problem of evil nimeuliza hapa mpka leo sijapewa majibu ya kueleweka.

Mzee wa kukariri
Hivi zile Higgs boson particles zilileta matokeo ya kuthibitisha universe kutokana na big bang ?
Vipi matokeo yake yalikupa moyo ?
Maana mnaokariri ni shida kweli, usijali kuna dini mpya imranzisha kuficha matokeo mabaya ya hizo particles "multiverse"

Kukua kwa maarifa kunathibitisha uumbaji kuliko wakati mwingine wowote.
 
Last edited by a moderator:
I have the fear of God in my heart. I know my limits and I shall not cross them.
Coz is he is a big liar and the most unreasonable one. Just ask for proof. i know you are christian.

You cant proof Karucee but if you can, just go ahead.

Unaongea kiimani rather than fact wajango. embu ngoja nikuswalike. Jee Mungu anaweza kudanganya?

Hahahahaaaaa! Your mind had blocked on wrong path, ukiwa mvivu wa kushindwa kutafuta ukweli utashikiliwa akili yako na mapasta mpaka unakufa.

Ningependa nikuswalike swali moja tu.
Ivi ungekuaje leo usingezaliwa na wazazi hao waliokupandikiza hiyo imani? let say ungezaliwa na waislamu.

Bwana yesu atukuzwe. Haleluya.
Cc: Karucee
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa! Babu Asprin kumbe unapitaga kona hizi!!!

Anyway. Mkuu Mungu anaweza kuwepo kwa maana ya super natural power, but huyu anaeongelewa na waislamu na wakiristo hayupo coz ni muongo sana na ni mbaguzi. A real God hawezi kuwa na udhaofu especially udhaifu huo. Anaweza akawepo lakini hawezi kuwa na pirika za kutaka waumini wake waende makanisani na misikitini, hawezi kufagilia sifa za viumbe dhaifu, hawezi kukomand watu wakae na njaa kutoka asubuhi kali mpaka jioni na kubwa zaidi hawezi kusema uongo.

Wee jiachie tu Asprin mpango wa kudanganywa na kukatazwa vitam ndio sipenda.

Kiongozi mimi ni mwafrika na namwamini Mungu wa kiafrika. Hawa miungu walioletwa na meli na ndege nawaachia hawa waliotekwa na ukoloni kwenye bongo zao.

Naamini Mungu yupo, Mungu nayemwamini mimi. Hajawahi andika vitabu kwakuwa Mumngu nayemwamini si mwandishi.
 
Niliposema msimamo wako nilikusudia hadi msimamo wako juu kuamini uwepo wa mungu au hauamini?

Pili ni jambo lipi hilo ambalo ni la uongo?

Wewe ni Muumini wa dini gani?
Hope hilo swali nimeshakuuliza sana, ila hutaki jibu. si ujibu tu nikuekee uongo wa dini yako!!!
 
Wewe ni Muumini wa dini gani?
Hope hilo swali nimeshakuuliza sana, ila hutaki jibu. si ujibu tu nikuekee uongo wa dini yako!!!

Wewe hadi sasa haujaeleza wazi kama unaamini mungu au hauamini halafu mtu kama wewe unasema dini zinamzushia uongo mungu.

Mimi naeleweka kuwa msimamo wangu naamini mungu na dini,ila wewe haueleweki kama unaamini mungu ila unapinga hizi dini. Sasa mazingira kama hayo kuna ulazima wa mie kutaja dini yangu?
 
Habari za hapa.

.
Research yako haijibiki kwa kuwa unamtafuta Mungu katika Mwili. Jaribu kumtafuta Mungu katika roho na kweli, Soma neno la Mungu ili umjue Mungu.
Umeshawahi kujiuliza maswali rahisi kama Haya?
1.Hivi wewe kama wewe umetoka wapi? Na unajua unakoenda?
2.Kama wewe ni matokeo ya Science "Nature" kama wanasyansi wanavyodai! Manake nature ni Hai!! Na nani yuko nyuma ya uhai huo?
3.Kama gari lina mbunifu, na amebuni likiwa na mahitaji yake ,sembuse wewe mtu uliye na ukamilifu kuliko hata hilo gari.
 
Biblia naimani. Toka Mwanzo hadi Ufunuo, Mimi sioni mapungufu wala makosa. Ninafahamu watu hawaelewi na hawajipi muda kutafuta ukweli juu ya wasio yaelewa ndiyo sababu nikakwambia sihitaji biblia kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Lakini Kama unahoja yoyote kuhusu chochote ndani ya Biblia niulize nitakujibu hapa.
Iwe kuhusu Uumbaji, kuanguka na ukombozi wa mwanadamu iwe huru , lakini angalizo ni kuondoa ulimbukeni kujifanya ni mjuzi na kukejeli kwa namna yoyote.
Ama kuhusu Uislam na Ukristo nakumbuka nimekufundisha pale uliposema mengi yanayohusu Yesu yanafanana kwenye Quran na kwenye Biblia.
Nikakwambia hayo unayoyaona machache pengine hayana uzito ndiyo msingi wenyewe wa Tofauti.
Usichotaka kuelewa ni nini ?
Mkristo ni Mkristo kwa kuwa anaamini juu ya kuteswa, kufa msalabani na kufufuka siku ya Tatu then kupaa mbinguni.
Ukiondoa kifo cha Yesu Kristo na kufufuka kwake mimi siwezi kuendelea kuwa Mkristo kwa kuwa HUO NDIYO MSINGI WA IMANI YA KIKRISTO.
hivyo Muislam ansposema Yesu Hakusulubiwa, Hakufa wa kufufuka anaweka tofauti ambayo ni dhahiri saw a na tofauti ya Giza na nuru...usichoelewa nini ?

Ok. mimi napenda twende taratibu na kwa vile umenipa ruhusa ya kukuuliza ningependa tuanze na swali hili;

Kwanini biblia inamatoleo mawili? mean agano kongwe na jipya.
 
Wa kufuta kauli ni mimi au wewe mpenzi?

Mimi nilichosema kinaushahidi 100%, hata Mungu akiniuliza nitamwambia binadamu uliowapa akili wanaojiita wanasayansi walinidanganya, sasa wewe hiyo kauli aisee inaukakasi haswaaaaa, futaaaaaaaaaaa
 
Ok. mimi napenda twende taratibu na kwa vile umenipa ruhusa ya kukuuliza ningependa tuanze na swali hili;

Kwanini biblia inamatoleo mawili? mean agano kongwe na jipya.

The Old Testament is revelation and law from God covering about the time from the creation of the earth to the time of Jesus' death on the cross. The New Testament is revelation and law from God covering about the time from Jesus' birth to His (future) second coming. It tells us that His Son, Jesus, came, lived, died, and arose so that believers on Jesus as the Christ might have eternal life. The New Testament also tells us, by both command and recorded example how we are to worship God today. The two portionscf God's will are so closely related it can be said about them that the Old is the New concealed and the New is the Old revealed. The Old Testament was preparatory, temporary, and limited. The New is complete, eternal, and universal. The Old Testament promised a New Testament (Jer. 31:31). The prophet Isaiah spoke of the days to come when the new law would go forth from Jerusalem (Isaiah 2:2-4). In the New Testament, the Apostle Paul stated that the law of Moses had been given until the seed, which is Christ Jesus, had come (study Galatians 3:19-27).

The New Testament is the will of Christ, its seal is Jesus' blood (Hebrews 9:15-17). The testator of this will is Jesus, God's Son. The inheritance is heaven. The terms are faith and obedience. The period of probation is the Christian age which will end when Christ returns. The beneficiaries are all men who accept the terms, and the executors of the will are the apostles.

This will could not come of force until Jesus' death, "For where a testament is, there must of necessity be the death of him that made it" Hebrews 9:16. Jesus' death marked the end of the old and the beginning of the new, for, "He taketh away the first that He may establish the second" Hebrews 10:9. Christians are discharged from the law and joined to Christ (Romans 7:4-6).

Ok. mimi napenda twende taratibu na kwa vile umenipa ruhusa ya kukuuliza ningependa tuanze na swali hili;

Kwanini biblia inamatoleo mawili? mean agano kongwe na jipya.

Biblia haina matoleo mawili Bali ni toleo moja ambalo limekusanya vitabu viitwavyo vya agano la kale na upande mwingine vitabu viitwavyo vya agano jipya

Agano la kale linahusika na viatabu vinavoelezea historia ya wateule wa Mungu ( Wayahudi/Waisrael ) ambao kupitia kizazi Chao Dunia ingepata Masiah Yesu Kristo.

Kwa maana hiyo Agano la kale limeandika historia ya mahusiano ya Mungu na wateule wake ikiwa ni pamoja na Unabii wa kuja kwa Masiah Bwana Yesu Kristo.

Agano jipya limeandikwa kuonyesha ukamilifu wa unabii Kama ulivyoelezwa katika vitabu vya agano la kale, kuhusu Masiah Yesu Kristo pamoja na nyaraka zilizoandikwa kwa makanisa mbali mbali na kwa wafuasi wa Yesu Kristo.
 
Safi sana mkuu. always naaprishiate mtu mwenye ujuzi na maarifa na namkubali zaidi mtu anayeweza kureason.

Hapo umeongelea imani moja tu ya kikristo. Jee unaamini uislamu na dini nyengine sio sahihi? why?

Then ningependa kuuliza. Jee kwamtazamo wako unahisi Mungu anaweza kuongea uongo?

Nimeongelea kwa mfano wa imani ambayo angalau ninafahamu misingi yake (Imani hiyo) ni nini. Maarifa yangu kuhusu imani ya uislamu au dini nyingine hayatoshelezi mimi kutoa maelezo yoyote juu ya ni nini imani hizo huamini. Hata hivyo, kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kuwa, katika msingi mkuu wa uwepo wa Mungu dini hizi mbili yaani uislamu na ukristo hazitofautiani sana kwani zote zinaamini katika uwepo wa Mungu mmoja aliye asili ya vitu vyote. Zinatofautiana kwa namna gani.

Swali la ikiwa dini nyingine ni sahihi sina majibu yake. Ninachoweza kusema ni kuwa maelezo yangu ya mwanzo yana sehemu ya jibu hilo. Maelezo yanaeleza kuwa kumtambua mungu ni lazima ajidhihirishe kwako kwani binadam hana uwezo wa kumng'amua Mungu - Kisimbuzi (Wengine husema King'amuzi) chake (binadamu) hakiwezi kutambua hilo hadi apewe siri (key) ya msimbo (Code) wenyewe. Yupi mwenye siri (key) sahihi kati ya dini zote zilizopo? Hili nalo si suala la kibinadamu kwani anayeweza kujibu hili ni yule mwenye msimbo yaani Mungu mwenyewe kwa mujibu wa maarifa niliyo nayo.

Sasa nikija kwenye swali lako la tatu ikiwa Mungu anaweza kusema uongo. Ukifuatilia hoja katika aya iliyotangulia nimezungumzia uwepo wa msimbo (code) ambao mwanadamu huhitaji funguo (key) ili kujua kuwa Mungu yupo na yukoje. Ikiwa huwezi kujua uwepo/kutokuwepo kwa Mungu, ni vigumu kuwa unaweza kujua ikiwa kama Mungu anaweza kusema/kutosema uongo. Nirejee imani ile niliyoitumia mwanzo (ukristo). Katika imani hiyo, njia za huyo Mungu, taratibu zake, kanuni zake, sheria zake, n.k. zinashuhudiwa kuwa si za kibinadamu. Uongo ni kanuni/mwenendo/mfumo wa kibinadamu kwani wote tunauona ukiwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

Ninachotaka kukuelewesha (pengine ni vigumu sana kufikia hilo lengo) ni kuwa uhusiano kati ya mwanadamu na Mungu ni wa Kiroho. Roho, kama tunavyoambiwa haina tabia zinazochunguzika kisayansi (sayansi yaani haitokani na nguvu kuu nne). Kwa maana hiyo kutumia njia za kisayansi kuchunguza chunguza uwepo na tabia za Mungu siku zote utapata majibu yasiyo na mantiki. Kwa mantiki hii, kila binadamu anayekabidhiwa funguo ya Kumjua Mungu (kwa mujibu wa imani ya kikristo) hujua tu kile ambacho funguo zake zinamwezesha kujua. Na kwa kuwa kumjua mungu ni hadi ajidhihirishe mwenyewe, uhusiano wa mtu na Mungu ni wa kibinafsi zaidi kuliko tunavyojaribu kuelezea. Uhusiano huo hauelezeki kwani binadamu hana funguo za kujua msimbo mzima. Kwa mujibu wa maelezo ya kibiblia kutoka injili ya Yohana, Thomas (yule aliyetaka kutumia sayansi kumjua Mungu) alipomshika Yesu baada ya kufufuka alisema "Bwana wangu na Mungu wangu". Alichokihisi hakuna anayeweza kukielezea - hata yeye mwenyewe asingeweza kuwaambia wengine alichokihisi hadi akatamka vile.

Mungu hujidhihirisha kwa mtu mmoja mmoja kwa sababu zake na kwa njia zake - na hatuna uwezo wa kuzihoji wala kuzitambua wala kuzielezea wala ................. Chochote tunachofanya, ni ubinadamu tu!!
 
The Old Testament is revelation and law from God covering about the time from the creation of the earth to the time of Jesus' death on the cross. The New Testament is revelation and law from God covering about the time from Jesus' birth to His (future) second coming. It tells us that His Son, Jesus, came, lived, died, and arose so that believers on Jesus as the Christ might have eternal life. The New Testament also tells us, by both command and recorded example how we are to worship God today. The two portionscf God's will are so closely related it can be said about them that the Old is the New concealed and the New is the Old revealed. The Old Testament was preparatory, temporary, and limited. The New is complete, eternal, and universal. The Old Testament promised a New Testament (Jer. 31:31). The prophet Isaiah spoke of the days to come when the new law would go forth from Jerusalem (Isaiah 2:2-4). In the New Testament, the Apostle Paul stated that the law of Moses had been given until the seed, which is Christ Jesus, had come (study Galatians 3:19-27).

The New Testament is the will of Christ, its seal is Jesus' blood (Hebrews 9:15-17). The testator of this will is Jesus, God's Son. The inheritance is heaven. The terms are faith and obedience. The period of probation is the Christian age which will end when Christ returns. The beneficiaries are all men who accept the terms, and the executors of the will are the apostles.

This will could not come of force until Jesus' death, "For where a testament is, there must of necessity be the death of him that made it" Hebrews 9:16. Jesus' death marked the end of the old and the beginning of the new, for, "He taketh away the first that He may establish the second" Hebrews 10:9. Christians are discharged from the law and joined to Christ (Romans 7:4-6).

Nimekusoma mkuu but hapo underline bado sijakusoma vizuri.

Jee unamanisha Jesus amekuja kurepeal the old testament?

If not, what does that verse mean?
Cc: Nkwesa Makambo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom