A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

Dhahabu na almasi hazimo katika katiba ya Tanzania yaliyomo ni mafuta na gesi . Kwa hivyo mzanzibar haina haki hapo
Bostwana kufananishwa na TANZANIA sio Tanganyika.
Tanganyika na zanzibar hazitambuliki kimataifa.
 
Naamini kama walikuwa serious basi kila tume angalau ilikuja na tangible effect hata kama sio kikubwa sana.

Sasa iweje Dr Magufuli alalamike sana kupigwa namna vile? Hizo tume za awali hazikufanyiwa kazi?
 
Ripoti ipi ya uongo aloitoa shujaa magufuli?
Iweke hapa tuione

..Ripoti za Prof.Mruma na Prof.Osorro. Hakuna anayefahamu ripoti hizo zimepotelea wapi. Waliotuhumiwa ktk ripoti hawakuchukuliwa hatua zozote za kisheria.

..Prof.Kabudi, baada ya kifo cha Magufuli, amejitokeza na kusema zile usd 900 billion tulizoambiwa tunaidai Acacia ilikuwa uongo.

..Magufuli mwenyewe ktk uhai wake alimpitisha Deo Mwanyika aliyekuwa CEO wa Barrick / Acacia hapa Tanzania kuwa mgombea ubunge wa Ccm.
 
Tuma video ya kabudi akisema tujirizishe
 
Huo ni usanii wa Nyerere kujaribu kuimeza Zanzibar
Huo usanii ndio uliokufanya wewe uishi kwa amani mpaka sasa.
Kama huamini hilo hamia sudani, congo, haiti halafu uone.
 
Tuma video ya kabudi akisema tujirizishe

..habari ya Kabudi nimeisoma kwenye gazeti.

..kama wangekuwa wamesema uongo Kabudi angewalazimisha wakanushe.

..Luhaga Mpina naye aliziulizia usd 900 billion tulizoambiwa tunaidai Barrick. Tafuta majibu ya Waziri wa Fedha Dr.Nchemba.

..Zaidi, tujiulize kwanini hatujalipwa hizo fedha na hao tulioambiwa tunawadai?
 
..Waznz teteeni Zanzibar yenu.

..pia msiwanange Watanganyika wanaotetea Tanganyika yao.

..Tufanye kazi pamoja ili kila upande upate haki na stahiki zake ktk muungano.

Nyinyi wengi ni wanafiki , waliposema wale uamsho kuhusu muungano wakapakaziwa ugaidi , wanachoma makanisa na kila uchafu , wengi humu mlikuwa mkiwananga na kuwasimanga wadini nk.

Si haba leo mumeanza kuuona ukweliki wachache wenu lakini wengi bado ulevi wa Nyerere umewajaa .

hata hivyo Aluta continua , wataamka tu
 
Jakaya kidiplomasia alifanikiwa kuweka 16% ya mirabaha kwenye madini,magu wako hakufanikiwa chochote huko zaidi ya stunts tu,mwisho wa siku makinikia yaliondoka na hatukupata chochote
Jakaya end the cartel ndo waliolifelisha taifa hasa kwenye gesi
 
Huo usanii ndio uliokufanya wewe uishi kwa amani mpaka sasa.
Kama huamini hilo hamia sudani, congo, haiti halafu uone.

Kuhusu kuhamia mbona wengine walishindwa walikimbilia Somalia mpaka leo wako huko?? sisi tusio na uwezo wa kwenda ndio tupo tunasubiri Oktober 25 mlete majeshi mpaka ya Burundi kututesa na kutuuwa kama kawaida yenu
 
Jakaya end the cartel ndo waliolifelisha taifa hasa kwenye gesi
Gesi gani!?..huwa mnaongea vitu hamna details navyo,kwa Sasa tunamiliki gesi ya mtwara kwa zaidi ya 45%,gas ya Lindi mikataba bado,gesi gani aliyofelisha jakaya?
 

..waliokuwa wakiwananga Uamsho ni Ccm, sio Watanganyika wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…