Bostwana kufananishwa na TANZANIA sio Tanganyika.Dhahabu na almasi hazimo katika katiba ya Tanzania yaliyomo ni mafuta na gesi . Kwa hivyo mzanzibar haina haki hapo
Tanganyika na zanzibar hazitambuliki kimataifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bostwana kufananishwa na TANZANIA sio Tanganyika.Dhahabu na almasi hazimo katika katiba ya Tanzania yaliyomo ni mafuta na gesi . Kwa hivyo mzanzibar haina haki hapo
Bostwana kufananishwa na TANZANIA sio Tanganyika.
Tanganyika na zanzibar hazitambuliki kimataifa.
Naamini kama walikuwa serious basi kila tume angalau ilikuja na tangible effect hata kama sio kikubwa sana.Bush Dokta,
..kila Rais alijaribu kwa namna fulani kushughulikia suala hili.
..Rais Mkapa aliunda tume za Dr.Kipokola, na kama sijakosea tume ya Gen.Mboma.
..Rais Kikwete aliunda tume za Lau Masha, na tume ya Jaji Bomani.
..Magufuli alikuja na tume za Prof.Mruma, na tume ya Prof.Ossoro.
..Suala la kujiuliza ni kama tunaweza kuzirejea ripoti zote hizo na kutafuta muafaka wa kitaifa wa hatua za kuchukua.
Ripoti ipi ya uongo aloitoa shujaa magufuli?
Iweke hapa tuione
Sema mimi MTANZANIA na naipenda TANZANIA yangu.Huo ni usanii wa Nyerere kujaribu kuimeza Zanzibar
Tuma video ya kabudi akisema tujirizishe..Ripoti za Prof.Mruma na Prof.Osorro. Hakuna anayefahamu ripoti hizo zimepotelea wapi. Waliotuhumiwa ktk ripoti hawakuchukuliwa hatua zozote za kisheria.
..Prof.Kabudi, baada ya kifo cha Magufuli, amejitokeza na kusema zile usd 900 billion tulizoambiwa tunaidai Acacia ilikuwa uongo.
..Magufuli mwenyewe ktk uhai wake alimpitisha Deo Mwanyika aliyekuwa CEO wa Barrick / Acacia hapa Tanzania kuwa mgombea ubunge wa Ccm.
Huo usanii ndio uliokufanya wewe uishi kwa amani mpaka sasa.Huo ni usanii wa Nyerere kujaribu kuimeza Zanzibar
Tuma video ya kabudi akisema tujirizishe
Sema mimi MTANZANIA na naipenda TANZANIA yangu.
Huo usanii ndio uliokufanya wewe uishi kwa amani mpaka sasa.
Kama huamini hilo hamia sudani, congo, haiti halafu uone.
Mimi ni MTANZANIA ninayeishi temeke na nimezaliwa Temeke
Mimi ni MTANZANIA ninayeishi temeke na nimezaliwa Temeke
Kama hii ndiyo amani sawa ya kuja kutuletea mkong`oto na wengine kuuliwa kila uchaguzi sawa
View: https://www.youtube.com/watch?v=gmxrblkDnbc&t=65s&pp=ygVEa2lsaWNob3dhcGF0YSB3YWxpb3dla3dhIGt3ZW55ZSB2aXp1aXppIHZ5YSBtYXRlc28gdWNoYWd1emkgemFuemliYXI%3D
..Waznz teteeni Zanzibar yenu.
..pia msiwanange Watanganyika wanaotetea Tanganyika yao.
..Tufanye kazi pamoja ili kila upande upate haki na stahiki zake ktk muungano.
Jakaya end the cartel ndo waliolifelisha taifa hasa kwenye gesiJakaya kidiplomasia alifanikiwa kuweka 16% ya mirabaha kwenye madini,magu wako hakufanikiwa chochote huko zaidi ya stunts tu,mwisho wa siku makinikia yaliondoka na hatukupata chochote
Jakaya end the cartel ndo waliolifelisha taifa hasa kwenye gesi
Huo usanii ndio uliokufanya wewe uishi kwa amani mpaka sasa.
Kama huamini hilo hamia sudani, congo, haiti halafu uone.
Gesi gani!?..huwa mnaongea vitu hamna details navyo,kwa Sasa tunamiliki gesi ya mtwara kwa zaidi ya 45%,gas ya Lindi mikataba bado,gesi gani aliyofelisha jakaya?Jakaya end the cartel ndo waliolifelisha taifa hasa kwenye gesi
Nyinyi wengi ni wanafiki , waliposema wale uamsho kuhusu muungano wakapakaziwa ugaidi , wanachoma makanisa na kila uchafu , wengi humu mlikuwa mkiwananga na kuwasimanga wadini nk.
Si haba leo mumeanza kuuona ukweliki wachache wenu lakini wengi bado ulevi wa Nyerere umewajaa .
hata hivyo Aluta continua , wataamka tu
..waliokuwa wakiwananga Uamsho ni Ccm, sio Watanganyika wote.