Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Hunishawishi hata siku moja. Mkitaka kupoteza uchaguzi mkuu 2025, mchagueni Lissu kugombea urais kwa tiketi ya CDM.Mtu kama Lissu ni hazina
Kitabu chake wataokisoma ni wachache sana kuliko kitabu chochote kilichoandikwa na mwanasiasa huko nyuma.
Alipojiharibia Lissu ni pale alipojaribu kzipa kipao mbele siasa za UBAGUZI kuwa kama suluhisho ya matatizo/kero za watanzania. Alibugi step!