A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

Mtu kama Lissu ni hazina
Hunishawishi hata siku moja. Mkitaka kupoteza uchaguzi mkuu 2025, mchagueni Lissu kugombea urais kwa tiketi ya CDM.
Kitabu chake wataokisoma ni wachache sana kuliko kitabu chochote kilichoandikwa na mwanasiasa huko nyuma.
Alipojiharibia Lissu ni pale alipojaribu kzipa kipao mbele siasa za UBAGUZI kuwa kama suluhisho ya matatizo/kero za watanzania. Alibugi step!
 
Una chuki binafsi.......as of now Mwanasias amashuhuri na Maarufu Tanzania ukimtoa Samia ni Tundu Lissu.

Umaarufu wa Samia unakuwa Coupled na Nafasi aliyopo, vyomba vinavyomhusudu na chawa mafisadi wanaotumia nafasi yake.
 
Nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…