Asante mkuu kwa andiko lako zuri lenye kufundisha. mwezi huu imetoka movie ya Terminator: Dark Fate, aise movie hii baada ya kutizama ilinibid nirudi kutizama movie zote za terminator kuanzia ya kwanza mwaka 1984 mpaka hii ya 2015.
hapa ndio nikaelewa haya mazungu yametuzidi mbali sana. leo hii kuna haya marobot nk kila kukicha wanatengeneza nikarelate na hizi series za terminator jinsi haya ma-Machine waliyoyatengeneza leo yamepata akili yanaanza kuwashambulia binadamu.
Je, hii itakuja kutokea huko mbeleni?