A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Nothing is impossible with tremendous ambition..Man
Time travel bado ni theory tu, mi mwenyewe bado siamini kama imawezekana. Ila nna mashaka na pale area 51 maana naskia tetesi Kuna alien aliwahi kuanguka pale jamaa wakamuhifadhi nakuanza kustudy technology zao ndio maana gunduzi nyingi inasemekana zinatokana na pale area 51

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo si tetesi Bali ni ukweli
 
Mimi haya mambo hua siyaelewi. Hivi kwanini Allien alidondokea 51. Mimi siamini kwamba eti wao ndio wanafundisha technology binaadamu.
 
Binadamu ana uwezo mkubwa sana kufanya mambo na hata AI ni depiction of human being capabilities.
Morgan Freeman ana muvi yake inaitwa LUCY, anaelezea % brain utilization inayotumika sasa na hapo itakapofikia maximum mambo yatakuwaje. I guess hii ability tumeumbiwa sema tu kuna mambo yanayotukwamisha.. (IDK)
 
Ngoja nikutag somewhere
 
Da'Vinci,
Itafika wakati sehemu kubwa za kazi zinazofanywa na mwanadamu zitafanywa na roboto 30-50 years from now kazi nyingi zitakuchukuliw na mashine(Robot) si hosptali, benki, usafiri, na hata security wise, Hili halipingiki na wala halizuiliki, chochote kinachofanywa na mwanadamu Robot na yeye atafanya tena in accurate way as it shall be programmed kuondoa zile Human Errors, Taratibu hata katika michezo tunaona how Technology ina take over, inarudisha zama zile za TECHNOCRACY.

Upande wa pili wa hivi vitu ni kupungua kwa imani na ongezeko la watu wasioamini katika Dini, the more binadamu anavyokuwa ana advance ndivyo umbali kati yake na Muumba wake unazidi kupungua(Sisemi watu wataacha kuamini katika Mungu) La hasha ila watakao amini katika teknolojia watakuwa ni wengi kuliko watakaokuwa wanaamini katika Dini ( There shall be Alot of Scientologist than religous believers), utatuzi wa mambo mengi ya mwanadamu vitafanywa na teknolojia.

Swali kuu la kujiuliza wakati haya yanatokea Je binadamu atakuwa static? Kadiri teknolojia inavyozidi kuwa kubwa ndivyo upeo wa mwanadamu kukabiliana na mazingira hayo unazidi kupanuka (wakati wewe unatengeneza virus, kuna mwenzako anawaza kutengeneza Anti-virus).
 
Back
Top Bottom