fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 287
- 266
Mkuu kwa io unaamini siku za usoni watu wanao paa angani na wanao toa mionzi ya milipuko mkononi mwao watakuepo dunianiMara nyingi muvi hua inatoa vitu ambavyo vitakuwepo in future..watu wakiona wanajua ni mambo ya kusadikika kama muvi zilivyozoeleka. Ila muda ufikapo kila kitu kitakua wazi
Lengo kubwa la muvi ni ku entertain tuu mm nionavyo labda zile za based on true story jpo nyingi ni za kitambo or jambo ambaloo lishafanyika