Zeedaya
Member
- Jan 17, 2019
- 80
- 99
Hizo vitu zote nyuma yake ni shetani japo Mungu ameruhusu na anatizama kama haoni maana anasema 'mwanadamu ni kiumbe jeuri na anajifanya anaakili, amemtukana Mungu na kisha kuzigeukia njia zake mwenyewe na Mungu amejifanya kama haoni ameruhusu mwanadamu azifuate akili zake kwa uangamifu wake mwenyewe'.
Moja wapo ya dalili za siku za mwisho ni 'maarifa yataongezeka' Na hayo yote ni mpango wa mpinga kristo kuifanya Dunia kuwa kama kijiji na kisha kutangaza amri ya dini moja ya kumwabudu Shetani na kumkanyaga Mungu, na hapo ndipo ghadhabu ya Mungu itakapowaka na ndipo Mwisho wa Dunia utakapofika. Hata ukatae au usiamini haimaanishi ukweli utabadilika maana hata we ni mwanasayansi mdogo unasoma waliyochagua kuyaandika, unaona waliyokuonesha hujui kiini cha kila kitu kitendekacho.
Furahieni maana ndio, sio dhambi kutumia mavumbuzi ya mwanadamu japo itamaanisha unayatumia vipi.
Alama ya mnyama inakuja ambapo hakuna atakae nunua wala kuuza wala kufanya chochote pasipo alama hiyo ya Shetani na ukiongea kuhusu AI inayowekwa ndani ya mwili ni kwa ajili ya kumcontrol binadamu na kuwa chini yake, Niliona somewhere watu wanawekewa hizo chip mwilini mwao na kisha wanakuwa na access na kila kitu bure, walikuwa wanafanyiwa majaribio na ni Shetani katika majaribio ya baadae kuwa mtu usipokuwa na hiyo hutakuwa na huduma na kuipokea ni kuingia katika chama lake na ndio sign of the beast.
Haya mambo yanakanganya sio rahisi kuamini au kutoamini lakini vyovyote vile yaaminike au yasiaminike kile kilicho kwenye ukweli hakitabadilika kiwe ni Science au Mungu au Shetani.