black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Unajua watu weng huwa hawafikiri juu ya yajayo,na yaliopita katika mifumo ya ubongo wao kwa mfano ukisoma kitabu Cha black man White house,ukamsoma barak Obama katika nukuu zake before presdnt, ukamsoma Martin Luther King na ukasoma kitabu Cha spiritual partinership Kuna vitu unaweza pata majibu meng Sana na vingne vingi tutatzo lako unajikuta mjuaji sana,,,, mm huwa nafanya mtu tuelekezane kwa sababu hakuna anaejua kila ktu. Na hz unazoita conspiracy theory ipo sku utaelewa kwamba they are not theories but its the life wr living at the moment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua watu weng huwa hawafikiri juu ya yajayo,na yaliopita katika mifumo ya ubongo wao kwa mfano ukisoma kitabu Cha black man White house,ukamsoma barak Obama katika nukuu zake before presdnt,ukamsoma Martin Luther King na ukasoma kitabu Cha spiritual partinership Kuna vitu unaweza pata majibu meng Sana na vingne vingi tu
kilicho akilini kitumie
Huwa napenda kusoma ya mambo yajayo kwakuwa najua faida yake nini
Richard, Kama shughuli zote zitafanywa na Robot kwa hio binadam atafanya kazi gani sasa hapa duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo dunia ya ngapi wewe ?General AI mkuu bado ni Alien level technology, very hard to archive. Yaani chukulia AI roboti anayeweza kutenda kazi kama binadamu, haiwezekani labda utokee msiba huko mbinguni.
Mkuu kwani we unajua Dunia ni sayari ya ngapi?Mkuu upo dunia ya ngapi wewe ?
Nyie watu mnaoamini hizi habari za Aliien hua mwanishangaza sana. Hivi unajua Mwanadam ana uungu wa uumbaji ndani yake..?General AI mkuu bado ni Alien level technology, very hard to archive. Yaani chukulia AI roboti anayeweza kutenda kazi kama binadamu, haiwezekani labda utokee msiba huko mbinguni.
Hio sio artificial intelligence machine, Bali ni programmed intelligent machine ni vitu viwili tofautiNdege nyingi zimeanza kutumia weak artificial intelligence .rubani anaset kitu kinaenda mpaka kinatua hagusichochote
Ni jina tu lakini ndio hiyo hiyo IA. Kumbuka mwanzo kabisa nimesema zamani kulikua na majina mengi ya Mashine zenye uwezo wa kufikiriHio sio artificial intelligence machine, Bali ni programmed intelligent machine ni vitu viwili tofauti
Ni vitu viwili tofauti haviko sawa na vina approach tofauti, nikipata mda nitakuelezea ni moja ya sehemu watu wengi wanashindwa kutofautishaNi jina tu lakini ndio hiyo hiyo IA. Kumbuka mwanzo kabisa nimesema zamani kulikua na majina mengi ya Mashine zenye uwezo wa kufikiri
So wewe huamini uwepo wa AliensNyie watu mnaoamini hizi habari za Aliien hua mwanishangaza sana. Hivi unajua Mwanadam ana uungu wa uumbaji ndani yake..?
Mimi naamini dunia sio sayari pekee wanapoishi viumbe..Katika galaxes mbalimbali,Solar systems na Planets zote in universe naamini kuna viumbe huko wanaishi. Ndio maana sala ya mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia/Earth ilibadilishwa na kua mwanakondoo uondoae dhambi za ulimwengu/Universe.So wewe huamini uwepo wa Aliens
Unajua napenda sana haya mambo ya Universe, Galaxies, Aliens na UFOs, na ndoto yangu ilikuwa kuja kuwa astronomer.Mimi naamini dunia sio sayari pekee wanapoishi viumbe..Katika galaxes mbalimbali,Solar systems na Planets zote in universe naamini kuna viumbe huko wanaishi. Ndio maana sala ya mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia/Earth ilibadilishwa na kua mwanakondoo uondoae dhambi za ulimwengu/Universe.
Nakataa kua kila teknolojia kubwa Basi binaadamu kashirikiana na Allien. Wewe unamuono gani.?
Nini kilikatisha ndoto zako..?Unajua napenda sana haya mambo ya Universe, Galaxies, Aliens na UFOs, na ndoto yangu ilikuwa kuja kuwa astronomer.
Kwahiyo kwa uelewa wangu na kwa kadiri nilivyojitahidi kuchimbua haya mambo, mimi naamini aliens na UFOs ni vitu ambavyo vipo lakini pia naamini siyo kila teknolojia ya mwanadamu imechangiwa na hao viumbe.
Ni story ndefu, labda siku nikipata wasaa nitaja lianzishia uzi hilo suala.Nini kilikatisha ndoto zako..?
Mimi nashangaa watu wengi wanaDoubt uwezo wa akili za mwanadamu wakati akili zetu ni extraordinary tumewekewa limit ndogo ndogo tu akilini ila tuna uwezo wa ajabu.
Sometimes hua nahisi hizi habari za alien kushirikianan na watu hua zinatengenezwa na wazungu kutupumbaza waafrika maana tunapenda vitu vya kusadikika ili tuendelee kujidharau uwezo wa akili zetu huku wao wakifanya makubwa
Basi nasubiria kwa hamu siku ukianzisha uzi huo.Ni story ndefu, labda siku nikipata wasaa nitaja lianzishia uzi hilo suala.
Yeah wewe umenifumbua macho yawezekana kweli hilo ndilo lengo la wazungu, na ninawaunga mkono kwa asilimia 100 maana waafrika wengi ni vilaza.