A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

tatzo lako unajikuta mjuaji sana,,,, mm huwa nafanya mtu tuelekezane kwa sababu hakuna anaejua kila ktu. Na hz unazoita conspiracy theory ipo sku utaelewa kwamba they are not theories but its the life wr living at the moment.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua watu weng huwa hawafikiri juu ya yajayo,na yaliopita katika mifumo ya ubongo wao kwa mfano ukisoma kitabu Cha black man White house,ukamsoma barak Obama katika nukuu zake before presdnt, ukamsoma Martin Luther King na ukasoma kitabu Cha spiritual partinership Kuna vitu unaweza pata majibu meng Sana na vingne vingi tu

kilicho akilini kitumie
 
umeona eeeeh!!
Unajua watu weng huwa hawafikiri juu ya yajayo,na yaliopita katika mifumo ya ubongo wao kwa mfano ukisoma kitabu Cha black man White house,ukamsoma barak Obama katika nukuu zake before presdnt,ukamsoma Martin Luther King na ukasoma kitabu Cha spiritual partinership Kuna vitu unaweza pata majibu meng Sana na vingne vingi tu

kilicho akilini kitumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
General AI mkuu bado ni Alien level technology, very hard to archive. Yaani chukulia AI roboti anayeweza kutenda kazi kama binadamu, haiwezekani labda utokee msiba huko mbinguni.
Mkuu upo dunia ya ngapi wewe ?
 
General AI mkuu bado ni Alien level technology, very hard to archive. Yaani chukulia AI roboti anayeweza kutenda kazi kama binadamu, haiwezekani labda utokee msiba huko mbinguni.
Nyie watu mnaoamini hizi habari za Aliien hua mwanishangaza sana. Hivi unajua Mwanadam ana uungu wa uumbaji ndani yake..?
 
Ndege nyingi zimeanza kutumia weak artificial intelligence .rubani anaset kitu kinaenda mpaka kinatua hagusichochote
 
Hio sio artificial intelligence machine, Bali ni programmed intelligent machine ni vitu viwili tofauti
Ni jina tu lakini ndio hiyo hiyo IA. Kumbuka mwanzo kabisa nimesema zamani kulikua na majina mengi ya Mashine zenye uwezo wa kufikiri
 
Ni jina tu lakini ndio hiyo hiyo IA. Kumbuka mwanzo kabisa nimesema zamani kulikua na majina mengi ya Mashine zenye uwezo wa kufikiri
Ni vitu viwili tofauti haviko sawa na vina approach tofauti, nikipata mda nitakuelezea ni moja ya sehemu watu wengi wanashindwa kutofautisha
Artificial intelligence machine vs programmed machine
 
So wewe huamini uwepo wa Aliens
Mimi naamini dunia sio sayari pekee wanapoishi viumbe..Katika galaxes mbalimbali,Solar systems na Planets zote in universe naamini kuna viumbe huko wanaishi. Ndio maana sala ya mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia/Earth ilibadilishwa na kua mwanakondoo uondoae dhambi za ulimwengu/Universe.

Nakataa kua kila teknolojia kubwa Basi binaadamu kashirikiana na Allien. Wewe unamuono gani.?
 
Unajua napenda sana haya mambo ya Universe, Galaxies, Aliens na UFOs, na ndoto yangu ilikuwa kuja kuwa astronomer.

Kwahiyo kwa uelewa wangu na kwa kadiri nilivyojitahidi kuchimbua haya mambo, mimi naamini aliens na UFOs ni vitu ambavyo vipo lakini pia naamini siyo kila teknolojia ya mwanadamu imechangiwa na hao viumbe.
 
Nini kilikatisha ndoto zako..?

Mimi nashangaa watu wengi wanaDoubt uwezo wa akili za mwanadamu wakati akili zetu ni extraordinary tumewekewa limit ndogo ndogo tu akilini ila tuna uwezo wa ajabu.
Sometimes hua nahisi hizi habari za alien kushirikianan na watu hua zinatengenezwa na wazungu kutupumbaza waafrika maana tunapenda vitu vya kusadikika ili tuendelee kujidharau uwezo wa akili zetu huku wao wakifanya makubwa
 
Ni story ndefu, labda siku nikipata wasaa nitaja lianzishia uzi hilo suala.

Yeah wewe umenifumbua macho yawezekana kweli hilo ndilo lengo la wazungu, na ninawaunga mkono kwa asilimia 100 maana waafrika wengi ni vilaza.
 
Basi nasubiria kwa hamu siku ukianzisha uzi huo.

Yaani dogo ni sawasawa na vile sisi wafrika mtu akiwa tajiri sana tunamchukia ili kipoza nafsi zetu tunasema kuanni freemason au kamtoa kafara mwanae. Hapo roho kwatuu tunatulia kabisa wala hatujishughulishi kwa bidii tuwe kama yy..
Tunajua wazungu wanatumikisha akili zao sana so wao wqnachofanya wanatuletea hizo habari za Aliens ili roho zetu zitulie tuone hawana akili wanasaidiwa na aliens. Wakati tunajibweteka kwa kudhani hawana akili wanasaidiwa basi wao wanazidi kufanya invetions kubwa kubwa. Hivyo tutabaki kuwategemea wao daima
 
Hiyo ya Alliens ni sawa na freemason yaan kitu hukijui wala hujaona na uambiwe kipo tu?kuna waganga sasa wamejieigiza km wanagawa huo ufreemason
 
Back
Top Bottom