A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Hapana sio kila mtu ni genius..wengi tuna avarage mind. Je kipi uligundua kutokana na kufikiria huko
 
Jamani mimi nahitaji maroboti ya kunisaidia shughuli zangu za ufugaji na palizi shambani ntapata kweli
 
Jamani mimi nahitaji maroboti ya kunisaidia shughuli zangu za ufugaji na palizi shambani ntapata kweli
Kuna kampuni moja kama sio oracle au Cisco nitakuwa nimesahau...wanadeal na AI katika upande wa kilimo wacheki wakusaidie swala lako.
@lastkingofontuzu.
 
Tukio la safari ya miraj ndio kisa pekee cha time travel.

Hizi story zingine zote ni conspiracy theories!
 
hahaha hakuna uchawi wowote bana, most technology bado hazijafika kwenye nchi zetu, mfano apps zilivokua znatoka zamani ulikua ukisema unatengeneza app unaonekana unafanya kazi ya kichawi sana kumbe ni skills tu
 
Mkuu mimi ni IT lakini siamini 0,1 ndio inafanya kila kitu kiwe display kwenye monitor kama kinavyoonekana. Hua nahisi ni vitu vya kufikirika kabisa

ukitaka kujua zaidi kuhusu hardware fanya physics sio IT, sasa kama screen kufanya kazi unashangaa ivo, je mambo ya time travel, warm wholes, warp drive, anti matter si ndo utalalamika
 
Huu uzi nimeuona leo, nimeusoma wote leo.
Kuna watu wamekosoa kuhusu binadamu kupaa kama tunavoona kwenye movies, ukweli ni kwamba kuna watu wanapaa in real life, ingia Twitter v
 
Huu uzi nimeuona leo, nimeusoma wote leo.
Kuna watu wamekosoa kuhusu binadamu kupaa kama tunavoona kwenye movies, ukweli ni kwamba kuna watu wanapaa in real life, ingia Twitter v
Twitter ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…