A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

sayansi na teknolojia ni akili pevu ya magreat thinkers, ndo maana ukiwa si great thinker ni rahisi gunduzi mbali mbali kua haziwezekani mpaka kuwe na connection na mambo ya kiroho

nb: ukitaka ijua dunia vizuri kua mtu wakufikiria sana na si ku-assume tu mambo baada yakufikiria kidogo

kila mtu ni genius ikiwa atajikita ktk kuyafikiria mambo kwa kina zaidi, hili nimelithibitisha mimi baada yakua nayafikiria mambo ya ulimwengu wetu kwa kina zaidi
Hapana sio kila mtu ni genius..wengi tuna avarage mind. Je kipi uligundua kutokana na kufikiria huko
 
Jamani mimi nahitaji maroboti ya kunisaidia shughuli zangu za ufugaji na palizi shambani ntapata kweli
 
Jamani mimi nahitaji maroboti ya kunisaidia shughuli zangu za ufugaji na palizi shambani ntapata kweli
Kuna kampuni moja kama sio oracle au Cisco nitakuwa nimesahau...wanadeal na AI katika upande wa kilimo wacheki wakusaidie swala lako.
@lastkingofontuzu.
 
Mkuu hua nafikiria CPU inavyofanya kazi na inavyotengenezwa..I don't think it's just a complex mathematics. Nah.. I believe there's some magic Walahi..
Sijawahi kuamini kabisa katika teknolojia hizi though nimepitia kwenye masuala ya Tech...based Comp

hahaha hakuna uchawi wowote bana, most technology bado hazijafika kwenye nchi zetu, mfano apps zilivokua znatoka zamani ulikua ukisema unatengeneza app unaonekana unafanya kazi ya kichawi sana kumbe ni skills tu
 
Mkuu mimi ni IT lakini siamini 0,1 ndio inafanya kila kitu kiwe display kwenye monitor kama kinavyoonekana. Hua nahisi ni vitu vya kufikirika kabisa

ukitaka kujua zaidi kuhusu hardware fanya physics sio IT, sasa kama screen kufanya kazi unashangaa ivo, je mambo ya time travel, warm wholes, warp drive, anti matter si ndo utalalamika
 
Huu uzi nimeuona leo, nimeusoma wote leo.
Kuna watu wamekosoa kuhusu binadamu kupaa kama tunavoona kwenye movies, ukweli ni kwamba kuna watu wanapaa in real life, ingia Twitter v
 
Back
Top Bottom