Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome tena kuhusu time traveling you are missing some pointsTime Travel ipo tangia kitambo, Mfano kuna nchi kwa sasa ni usiku ukisafiri na ukaenda iyo nchi unakuwa ume Time Travel hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kila mtu ni genius..wengi tuna avarage mind. Je kipi uligundua kutokana na kufikiria hukosayansi na teknolojia ni akili pevu ya magreat thinkers, ndo maana ukiwa si great thinker ni rahisi gunduzi mbali mbali kua haziwezekani mpaka kuwe na connection na mambo ya kiroho
nb: ukitaka ijua dunia vizuri kua mtu wakufikiria sana na si ku-assume tu mambo baada yakufikiria kidogo
kila mtu ni genius ikiwa atajikita ktk kuyafikiria mambo kwa kina zaidi, hili nimelithibitisha mimi baada yakua nayafikiria mambo ya ulimwengu wetu kwa kina zaidi
Kuna kampuni moja kama sio oracle au Cisco nitakuwa nimesahau...wanadeal na AI katika upande wa kilimo wacheki wakusaidie swala lako.Jamani mimi nahitaji maroboti ya kunisaidia shughuli zangu za ufugaji na palizi shambani ntapata kweli
HaaaahaaWazazi himizeni watoto wenu wasome masomo ya fizikia na maths..Computer science ndio imeshikiria usukani wa maendeleo ya dunia. Piga makonzi sana mwanao kama anapenda vishazi
Sijui amekula maharage ya wapiMKUU MBONA UNACHANGANYA MADESA
RENATUS GODIAN,
Mkuu unaongea mambo mazito sana.
Ni ukweli kabisa time travelling lazima ihusike na uchawi ili kukamilika. Sio tu hapo uchawi na sayansi vimekua vikifanya kazi pamoja muda mrefu
Look for it in BLACK HOLEBeware of singularity!
Mkuu hua nafikiria CPU inavyofanya kazi na inavyotengenezwa..I don't think it's just a complex mathematics. Nah.. I believe there's some magic Walahi..
Sijawahi kuamini kabisa katika teknolojia hizi though nimepitia kwenye masuala ya Tech...based Comp
Mkuu mimi ni IT lakini siamini 0,1 ndio inafanya kila kitu kiwe display kwenye monitor kama kinavyoonekana. Hua nahisi ni vitu vya kufikirika kabisa
Twitter ipiHuu uzi nimeuona leo, nimeusoma wote leo.
Kuna watu wamekosoa kuhusu binadamu kupaa kama tunavoona kwenye movies, ukweli ni kwamba kuna watu wanapaa in real life, ingia Twitter v
Kuna account ya Twitter inaitwa Tech insider, kama unapenda mambo ya technology pitia huko ujioneeTwitter ipi