Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Imi nashindwa kuelewa hv serikali yetu haioni kua elimu yaetu ni hovyo au sisi ndio tunaona pekeeTunahitaji kuitangaza elimu yetu ni janga la kitaifa - ukweli mchungu.
Beside that ni crusaders who can save hii cheap/outdated education.
Imi nashindwa kuelewa hv serikali yetu haioni kua elimu yaetu ni hovyo au sisi ndio tunaona pekee
Mkuu seem like upo deep sana kwenye sekta hii ya AI hasa jinsi inavyofanya kazi kwenye maisha halisi.
Endelea kutujuza mkuu..
AI si uliona zinavyoonyeshwa kwenye Terminator..
Sijui alipotelea wapi huyu dada. Alikua vizuri sana kichwani ns Fantasia au Fatima binti hemedMada kama hizi namkumbuka sana dada yangu mpendwa@nalendwa alikuwaga hana kabisa mda wa kujadili aina za papuch yeye utamkuta huku akiichimbua dunia na makombora ya Mossad
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukua hata na mawasiliano nae?Fatima binti hemed naye ni kichwa sana pia ni rafiki yangu wa karbu sana lakin sijui hata yuko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa na namba yake japo tulikuwa tunachat pmHukua hata na mawasiliano nae?