A lady with wife material is need now

A lady with wife material is need now

Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall.

Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani.
Kazi: sio lazima awe mwajiriwa coz kuelea kwetu ni moja sifa zetu.
Kimo: mrefu wa wastani.
Rangi: maji ya kunde au mweupe, kwa rangi hizi kwetu ni most wanted.
Kabila: kipaumbele kabila langu au yoyote mwenye maadili yanayoendana na yetu.
Awe na damu ya ujasiliamali. Umri: 25- 30.
Dini: mkristo na kama muislam awe tayari kubali dini.
Elimu: std7 au zaidi
Muhimu: kama maisha ni popote basi hata mwanamke ni popote anapatikana. Wenye kejeli pia wanakaribishwa kuchangia but anaehisi tutaendana, karibu PM right now. Unakaribishwa tujaribu bahati yetu, naamini Mungu atafungua milango ya baraka.
Ahsante.
Me nakushauli wafwate pm kimya kimya usiweke bango
 
Nasubiri tu mrejesho ukimpata
Ikibidi hata kwenye ndoa utaarifiwa mkuu.
Zamani watu walisalimiana kwa kutembeleana, zikaja barua hatimae simu zimeshika nafasi.
Naamini hata njia hii ni halali kupata nitakacho
 
Wanaume tunaanza kuchanganyikiwa sasa.

Haya bana all the best
 
Ikibidi hata kwenye ndoa utaarifiwa mkuu.
Zamani watu walisalimiana kwa kutembeleana, zikaja barua hatimae simu zimeshika nafasi.
Naamini hata njia hii ni halali kupata nitakacho
Njia hii ni halali kabisa kwa wewe kupata ubavu wako usijali
 
Sasa pm atajuaje rangi zao,elimu,kama ana damu ya ujasiriamali,height nk?
Utapata. Ila hapo pa' A lady with wife material is need now.
Pengine ingekaa MUBASHARA kama ingekuwa .WIFE MATERIAL IS NEEDED HERE!! MARA nyingi kichwa cha habari kinabeba Ujumbe woooote wa ndani.Is just like A cover of a book.That heading of a book tells it all.Sasa Rafiki angu msukuma pamoja Na Lengo lako nzuri Na Ujumbe umefika bila shaka.,but naona.wengi wanavutia Na heading kwa maana Grammatical haijakaa Sawa.So they make fun of you.But,as your sister I wish you the best luck in your choices.
 
Back
Top Bottom