A letter to Miss Natafuta the loving one

A letter to Miss Natafuta the loving one

Kweli kiingireza lugha ya mapenzi, yaani umeona kabisa kwamba ukiandika kibantu hawezi vutika bali kiidhungu, hahahah

Sawa amesoma ujumbe wako endelea kusubiri majibu mazuri
 
Kweli kiingireza lugha ya mapenzi, yaani umeona kabisa kwamba ukiandika kibantu hawezi vutika bali kiidhungu, hahahah

Sawa amesoma ujumbe wako endelea kusubiri majibu mazuri
Naomba unitafsirie Mkuu ahahaaa
 
  • Thanks
Reactions: sab
Hii inaitwa "Cross the river in a crowd and the crocodile won’t eat you."
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hivi umbea unaendana na Kiswahili? Huu uzi ungeandikwa kiswahili sasa hivi ungekuwa na kurasa 157!
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Anasema hivi: Alimuomba Miss Natafuta ampikie ugali wa bamia, miss akakubali akampikia, alikula sana hadi akavimbiwa, kilichofuata alijikuta anatoa hewa mbaya kila mara, lakini miss alimvumilia.
 
Back
Top Bottom