Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unitafsirie Mkuu ahahaaaKweli kiingireza lugha ya mapenzi, yaani umeona kabisa kwamba ukiandika kibantu hawezi vutika bali kiidhungu, hahahah
Sawa amesoma ujumbe wako endelea kusubiri majibu mazuri
kutokujuana ndo mwanzo wakujuana sasa mkubwa mwenzako huyo zuka nae tuuAhahaa sikuona bna.Ila huyu mtu hata Simjui.
Kasema ndoa lini eti?kutokujuana ndo mwanzo wakujuana sasa mkubwa mwenzako huyo zuka nae tuu
Hii lugha mkuu bila bia kwanza inakuwaga ngumu, ila nikipiga bia kadhaa mbona utadhani mzawa wa ulaya kasoro rangi ya ngozi tu,Naomba unitafsirie Mkuu ahahaaa
kasema he is geared up when you are ready( 😛😛😛Nyie mliokimbia umande maanake anakusikilza wewe tu) ..sema anaudambwi kichizi lazma ujaeKasema ndoa lini eti?
Udambwi ndo nini?kasema he is geared up when you are ready( 😛😛😛Nyie mliokimbia umande maanake anakusikilza wewe tu) ..sema anaudambwi kichizi lazma ujae
Uongo uongooUdambwi ndo nini?
Ahahaa wewe umejuaje muongo?Uongo uongoo
Ahahaa uringeMimi katika ubora wangu katika ID yangu ya pili![emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi umeharibiwa na lugha tuu
Ndio unaona vile wajumbe wamechekewa kuingia wamefuata kamusi zao kwanza
Acha kujishaua mwenzio anataka papuchi!Ahahaa uringe
Mpe wewwAcha kujishaua mwenzio anataka papuchi!
Umbea hauna lugha.Hivi umbea unaendana na Kiswahili? Huu uzi ungeandikwa kiswahili sasa hivi ungekuwa na kurasa 157!
Anasema hivi: Alimuomba Miss Natafuta ampikie ugali wa bamia, miss akakubali akampikia, alikula sana hadi akavimbiwa, kilichofuata alijikuta anatoa hewa mbaya kila mara, lakini miss alimvumilia.Nasubiri mtu anitafsirie
Dear Miss Natafuta,
impressed me a lots what else nothing, you are a mother, you are a mother and you will always be a mother please join the rail for the journey no more time to waist.
Welcome
Anasema hivi: Alimuomba Miss Natafuta ampikie ugali wa bamia, miss akakubali akampikia, alikula sana hadi akavimbiwa, kilichofuata alijikuta anatoa hewa mbaya kila mara, lakini miss alimvumilia.