A. Mahimbo apeleka pingamizi kwa Pengo dhidi ya Dr Slaa

Hivi Mahimbo ana mke kwa sasa au yupoyupo?

atujui siunajua wakati ule ameona huyo Josephine uko na Slaa kwa hivyo akaenda kumvunjia ndoa na bombavu huyo Josephine kumkimbilia mume wa mtu na kuacha mume wake mzuri Rais wetu wa Moyo Slaa kufikiri amepata kumbe amepatikana LINJINA LINGINE SASA ANATAKANINI HUYO MBARAKASHIE WAKE. YEYE JOSEPHINE AJUI SHERIA AU LAA AMFUNDISHE HUYO MBARAKASHIE WAKE, LOOO SHERIA UPO JAMANI SLAA ATAFUNGA NDOA TENA YA KANISANI KWA SABABU AMEKUA MZEE MTULIVU MWENYE HESHIMA ZAKE NA AMEKAA UTAKATIFU BILA KUMANGA MANGA NA WASWAHILI KAMA HUYO MCHAFU WAKE JOSEPHINE MAHIMBO. LOOO SKULI NI LAZIMA AISEE USIPOENDA SKULI NI KAZI
 
KESI YA KUPINGA NDOA YA DK.SLAA YAANZA KUNOGA


Na Happiness Katabazi


MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam,imemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Dk.Willbrod Slaa na mchumba wake Josephine Mushumbusi ambao ni wadaiwa katika kesi ya kupinga wasifunge ndoa Julai 21 , wawasilishe utetezi wao kwa njia ya maandishi Julai 30 mwaka huu.


Hivi karibuni mke wa Dk.Slaa, Rose Kamili nee Sukum anayetetewa na wakili wa kujitegemea Joseph Thadayo alifungua kesi hiyo ya madai ya ndoa Na.4/2012 dhidi ya wadaiwa hao akiomba mahakama hiyo itoe amri ya kuzuia wadaiwa hao wasifunge ndoa inayokusudiwa kufungwa Julai 21 mwaka hu,kwasababu yeye bado ni mke halali wa Dk.Slaa na jana kesi hiyo ilikuja kwaajili ya kutajwa.


Amri hiyo ilitolewa jana na Jaji Laurance Kaduri ambapo alisema kesi hiyo jana ilikuja kwaajili ya kutajwa na kwamba anawataka wadaiwa wawasilishe utetezi wao kwa njia ya maandishi Julai 30 na mlalamikaji awasilishe hoja zake kama inaona inafaa Agosti 7 na kwamba Agosti 14 mwaka huu, kesi hiyo itakuja kwaajili ya kuanza kusikilizwa.Hata hivyo mlalamikaji wala waidaiwa ambao wanatetewa na wakili wa kujitegemea Mutakyamilwa Philemoni hawakuwepo mahakamani.


Kwa mujibu wa hati ya madai ya kesi hiyo ya masuala ya ndoa,. Rose anaiomba mahakama isikubali shauri hilo lipelekwe kwenye Bodi ya Maridhiano ya Masuala ya Ndoa ya kwaajili ya kupatanishwa. Dai la pili, Rose anaiomba mahakama itanganze yeye na Dk.Slaa bado ni wanandoa.


Dai la tatu anaiomba mahakama itamke kuwa ndoa baina yake na Dk.Slaa bado halali kisheria na kwamba ndoa nyingine itakayofungwa kinyume na sasa ndoa hiyo itakuwa ni batili.


Katika dai lake nne, mlalamikaji ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum(Chadema) huyo anadai mdaiwa wa pili(Josephine) alimshawishi mumewe(Dk.Slaa) kuivuruga ndoa yake na mumewe ambaye ni mdaiwa wa kwanza.


"Pia nia ya wadaiwa hao wawili ya kutaka kufunga waliyopanga ifungwe Julai 21 mwaka huu katika eneo lolote lile,ndoa hiyo ihesabike kuwa ni batili.


Aidha anaiomba mahakama iwaamuru wadaiwa wamlipe fidia ya shilingi 50,000,000 kama gharama za matunzo ya watoto watoto wawili ambao Emiliana Slaa na Linus Slaa aliyezaliwa mwaka 1987 na kwamba walianza kuishi pamoja na Dk.Slaa kama mume na mke, ambao amekuwa akiwahudumia kwa tangu mwaka 2009 baada ya mume wake kumkimbia. Pia anaiomba mahakama imwamuru mdaiwa wa pili(Josephine) amlipe fidia ya shilingi 500,000,000 kwasababu alimsababishia usumbufu mkubwa na kumharibia ndoa yake na kuongeza kwa kuimba mahakama hiyo impatie nafuu nyingine ambazo itaona inafaa.


Chanzo;gazeti la Tanzania Daima la Ijumaa,Julai 13 mwaka 2012
 
Hii ndio shida ya kuoa mke anayekuzidi kipato, hata km hupendwi utataka upendwe!
 
Mi ningekua huyu Bwana ningeenda kumuoa Rose Kamili, ngoma droo.

Kuliko mwanaume mzima kulalamika majukwaani kua umeibiwa mke.
 
Reactions: FJM
Haki ya kukimbiwa na mke! Sasa mke kama hakutaki na kazalishwa nje we unataka haki gani tena!

Mkuu usipende ushabiki Slaa kaleta matatizo makubwa kwenye ndoa ya Mahimbo mpaka watoto wawili wake wawili wamekosa malezi bora msipende kutetea ujinga.
 

mimi namshangaa Josephine anafikiri atakuwa first lady hajijuhi kama yeye ameumbwa unyani anautaka ungedere ,Josephine nakushauri rudi kwa mumeo laana ya ndoa inafuatilia maisha yako hamtadumu kamwe!
 
Mahimbo anachotaka ni mkewe tu ndo mana anapeleka pingamizi kwa pengo
Mahimbo alikuwa hana tatizo mkewe kuishi na bwana mwingine tangu 2010 mpaka kuzalishwa, leo kasikia anafunga ndoa kaibuka, aibu anataka apozwe zimeisha za CCM. Huu ni ungese wa aina gani!!
 


Mahimbo huyu naona kama muislam na ndoa yao ilikuwa ya aina gani ? Walifunga kwa shekhe au kwa Pengo ? Tangia lini ndoa ya kiislam ilikuwa ndoa ?
 
Mwanaume mzima anajidhalilisha kwa sababu ya njaa, kama mwanamke alikuacha anajua kwanini alifanya hivo, unalazimisha penzi? Kama ulikuwa humpapasi vizuri? Huyo ni binadamu kama wewe usimlazimishe akupende



Hahahaahahahah Jakubumba samahani kidogo sijakuelewa vizuri, kwahiyo unataka kuniambia slaa anajua kumpapasa Josephine ndio maana, Mahimbo akakimbiwa? au ulikua una maanisha nini? Fafanua kidogo
 
Mahimbo alikuwa hana tatizo mkewe kuishi na bwana mwingine tangu 2010 mpaka kuzalishwa, leo kasikia anafunga ndoa kaibuka, aibu anataka apozwe zimeisha za CCM. Huu ni ungese wa aina gani!!

Naona mate yanakutoka wewe hacha haki ichukue mkondo wake:shetani:
 
Hapa bwana anayesumbua ni Huyo Rose Kamili... Huyo Mahimbo ni mfa maji tu... Na huyo Rose mwenyewe hoja zake zitakuwa na mashiko tu endapo atakuwa na cheti cha ndoa km uthibitisho kuwa aliwahi kuolewa na Dr Slaa.. Vinginevyo naye ishu yake itayeyuka tu.. kuzaa na Dr Haimaanishi kuwa ni lazima aolewe naye.... Kimsingi hakuna cha maana kinachomzuia Dr Slaa asimuoe Josephine kama Mahimbo alishamtaliki...........
 
Mke wake si Josephine ndio anapambana kupata haki yake uchungu wa mke haujue mume.

Huyo bwana alishapewa talaka, na ndio maana ameenda kwa Pengo na si mahakamani kama alivyofanya Rose Kamili.

Kazidiwa maujanja sasa analia kwa Pengo. Mwanaume kukimbiwa na mke inauma maana inaleta kaaibu fulani hivi. Pia inazua maswali mengi. Ni udhaifu, uzembe au alishindwa kulisha familia?
 
Kuna thread jana niliwaambiwa mnapotaka kujua mambo ya kanisa katoliki basi inabidi mjipinde kusoma. Kwa mvivu wa kusoma na bingwa wa kuropoka basi kwa Kanisa katoliki utakuwa unaumbuka kila siku.

Wenzenu magazeti ya Ulaya na America wameweka waandishi maalumu kwa ajili ya kusoma na kulielewa kanisa katoliki na inapotokes issue ya Kikatoliki hawawi wababaishaji.

Inaelekea ndoa hii itafungwa kanisani. Kama ni hivyo basi kanisa Katoliki huwa linaangalia mambo yafuatayo.

Kwanza ndoa ni Sakramenti ambayo padre haitoi bali mke anampa mume na mume anampa mke. Ukishapewa Sakremant basi haiondoki hadi kifo chako.

Kitakachofanyika ni ndoa kutangazwa kama kuna kipingamizi. Na vipingamizi ni hivi kwamba labda mhalifu alifungia ndoa jimbo lolote duniani halafu akaja jimbo jingine na kudanganya.

Kinachotakiwa hapo ni kutaja tu diocese mtu aliyofungia ndoa na wala huna haja ya kuleta ushahidi kwani padri wa parokia {Paroko} iliyofungwa ndoa atapigiwa simu na kujulishwa alete kopi ya rekord za ndoa ile.

Kama hakuna kipingamizi hakuna kizuizi cha kuzuia ndoa isifungwe.

Kwa Dr. Slaa na Josephine sijajua watafungia ndoa yao jimbo gani. Lakini kwa sheria za kanisa Dr. Slaa hajafikisha miaka mitano ya makazi yake jijini D'Slaam, hivyo nasita kusema kuwa kikanisa yeye ni mkazi wa Archdiocese of D'Salaam.

Ni wazi bado anahesabika kuwa yeye ni Maktoliki wa Jimbo la Mbulu kwa Askofu Beatus Kinyaiya na si mkazi wa D'Salaam kwa Askofu Polycarp Pengo.

Hivyo hata kama ingekuwa issue inapelekwa kwa askofu ni ujinga kuipeleka kwa Pengo wakati Dr. Slaa hajawa muumini wake. Ningemuona huyu jamaa ana uelewa kidogo kama ningesikia anadhamiria kumuona Askofu Kinyaiya.

Lakini je anatakiwa kufikisha kwa askofu?

Ukweli ni kwamba wanaomuelekeza huyu mtu wanazidi kumpa Dr. Slaa sifa. Wanasahau kwamba Dr. Slaa ni mtaalamu mkuu wa Sheria za kanisa Katoliki katika level ya Phd. Ikibidi Dr. Slaa anaijua vizuri Sheria za Kanisa kuliko maaskofu wengi ikibidi kuliko wote.

Hivyo, nikisikia kuwa anafunga ndoa Kanisani sishangai na najua haitakuwa na kipingamizi.

Vilevile suala hili ni dogo sana ambalo liko mikononi mwa Padri atakayewafungisha ndoa. Usipolielewa kanisa Katoliki unaweza kudhani kwamba Askofu ni kama bosi wa Jimbo hivyo anaweza kuzuia sakrament.

Sivyo. Sakrament hutolewa na padri kwa niaba ya Yesu hivyo hakuna mtu hapa duniani wa kuzuia kama haina kipingamizi cha imani.

Yeye aende kwa Polycarp Pengo, ikibidi apande ndege hadi Vatican aeleze suala lake. Lakini kama Josephine hajawahi kufunga ndoa ndani y aKanisa Katoliki basi huyu bwana na washabiki wake imekula kwao.

Polycarp Pengo atamkaribisha vizuri, atapewa juice, chai na keki kama zipo. Ataona sanamu nyingi nz nzuri za Bikira maria zilivyopambwa pale na Rozari, kisha Pengo atakuja.

Wataongea naye na Pengoa atakachofanya atamfundisha katekism ya Kanisa katoliki kuhusu mambo ya ndoa. Ikibidi atamshauri aonyeshe upendo kwa kuhudhuria misa ya ndoa ya Mkatoliki aitwaye Wilbrod Slaa na Josephine Mushubusi.
 
Mahimbo anachotaka ni mkewe tu ndo mana anapeleka pingamizi kwa pengo

Bullshit-Anataka mkewe! Give me a break. Kwani mwanamke ni bidhaa? Alimnunua? Na kama mwanamke hampendi tena anampenda Slaa utamlazimisha arudi kwa Mahimbo? KWA MWANAMKE YEYOTE ANAYE SUPPORT HII ISHU KUWA MAHIMBU ANAMTAKA MKE WAKE NI MFINYU WA KUFIKIRI NA ANAKUBALI UTUMWA MAMBO LEO. Mwanamke ana haki ya kuchagua analo taka, kuolewa na mtu anaye mtaka au LA.

KWA MWANAMUME ANAYE SUPPORT KUWA MAHIMBO ANATAKA MKE WAKE NI PUNGUANI NA BADO YUPO KWENYE STONE AGE. Kila binadamu anahaki ya kujichagulia wa kumuoa au kuolewa.

Wacheni mambo ya SIASA kwenye personal life. Dr. Slaa ni binadamu kama mtu yeyote, ana feeling, ana haki ya kupenda so as Josephine.

SIONI HAKI AMBAYO MAHIMBO ANAYO TAFUTA, kama demu hakupendi kwa nini ulazimishe? MOVE ON GOD DAMN IT...Huu ni mtazamo wangu.
 
Mkuu usipende ushabiki Slaa kaleta matatizo makubwa kwenye ndoa ya Mahimbo mpaka watoto wawili wake wawili wamekosa malezi bora msipende kutetea ujinga.

Hueleweki,
Slaa kaleta matatizo kwenye ndoa ya mahimbo,
Then unataja matatizo tena ya watoto (wa slaa).
Yaani hujui hata tatizo liko wapi!!!
 
Polycarp Pengo atamkaribisha vizuri, atapewa juice, chai na keki kama zipo. Ataona sanamu nyingi nz nzuri za Bikira maria zilivyopambwa pale na Rozari, kisha Pengo atakuja.

Wataongea naye na Pengoa atakachofanya atamfundisha katekism ya Kanisa katoliki kuhusu mambo ya ndoa. Ikibidi atamshauri aonyeshe upendo kwa kuhudhuria misa ya ndoa ya Mkatoliki aitwaye Wilbrod Slaa na Josephine Mushubusi.


Well said.
 
unamtafuta mwanamke ambaye hakutaki na at the same time unaishi na mwanamke mwingine mahimbo shame on you.

Acha uongo huyu jamaa hana mke,unamzushia bure wacha jamaa adahi mke wake,naomba nikuulize swali la kizushi wewe baba yako angeibiwa mama yako ungefurahi?acha kutetea dhambi ya uzinzi,huyo Josephine ni mzinzi!
 
Hivi wewe mtu akikupora mke wako ukipambana kudai haki yako ndio kutumika?

haki ipi Ritz..katafute haki pengine maana yapatikana..ASIEKUPENDA ACHANA NAE.Magamba mna tabu.
 
Acha uzinzi mama rudi kwa mmeo tamaa zitakumaliza ata maandiko hayakuruhusu ata kidogo,uzinzi huo!

wewe huwa hutumii? Kama hujawahi fanya ngono utakuwa we ni ccm maana ndo WATAKAVITU..pambav.MNATAFUTA SINGO MPYA KUMSUMBUA DR KILA MARA ILA TUMEWAZOEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…