A must read: A letter addressed to His Excellency President Cyril Ramaphosa, President of South Africa, regarding the safety of the COVID-19 vaccine

Nimepata wasiwasi wa Imani yako juu ya MUNGU na shetani. Unajua nini juu ya Kifo na Dhambi?
Mungu na shetani ni nadharia tu ndugu ambazo hazijawahi kuwepo.

Ni vile watu wengi wanaogopa kifo sasa wanatengeneza nadharia ambazo hazipo.

Biblia ni kitambu cha hadithi ambazo hazina ukweli wowote.
 
Ukimpiga kenge ili akimbie mpaka aone damu zinatoka puani.
Madhara yatakapoonekana ndiyo watu Hawa Hawa wavivu watakuja humu kulaumu.
Bill Gates hayuko ktk utani yuko siriaz kutupukutisha hasa waafrika.
 
Hivi ulitegemea wakitaka kutufanyia depopulation watuambie haya tunawafanyia depopulation tumia akili mpingaji ,kufa kupo sio kwamba wanatupenda sana wanataka wafute kizazi cheusi wabaki wao tu
 
Uko shallow sana kuhusiana na Mungu kwa huu ujinga umeandika, Kama huelewi mambo ya Mungu usiIaImishe kuyaandika au kuyaeIezea!
 
Wewe unae elewa mambo ya mungu unaweza kuniambia yuko wapi na anafanya nini? Umewahi kumuona? Umewahi kuongeanae? Anafananaje?

Mungu na shetani ni hadithi tu za kutunga zisizo na uhalisia wowote.

Kwa kukusaidia ni kwamba ufahamu wangu kuhusu mambo ya mungu na shetani umepita ufahamu wako kwa kiwango kikubwa sana. Wewe huna cha kunielimisha kuhus mungu.
 
Huu bado ujinga na sina mda wa kukuelezea
 
Mungu na shetani ni nadharia tu ndugu ambazo hazijawahi kuwepo.

Ni vile watu wengi wanaogopa kifo sasa wanatengeneza nadharia ambazo hazipo.

Biblia ni kitambu cha hadithi ambazo hazina ukweli wowote.

Mungu na shetani ni nadharia tu ndugu ambazo hazijawahi kuwepo.

Ni vile watu wengi wanaogopa kifo sasa wanatengeneza nadharia ambazo hazipo.

Biblia ni kitambu cha hadithi ambazo hazina ukweli wowote.
Kwa namna hii wewe hatuko pamoja.Ila ushauri wangu wa bure ni huu,"afadhali umuamini Mungu halafu,ukute hayupo,kuliko usimuamini halafu ukute yupo,itakuwa kilio na kusaga meno."
 
Ukimpiga kenge ili akimbie mpaka aone damu zinatoka puani.
Madhara yatakapoonekana ndiyo watu Hawa Hawa wavivu watakuja humu kulaumu.
Bill Gates hayuko ktk utani yuko siriaz kutupukutisha hasa waafrika.
Hongera mkuu,ni wajanja tu na wadadisi wanaoliona hili,wengi wamelala usingizi wa pono.Na yuko serious kweli kweli,hatanii.
 
Kwa namna hii wewe hatuko pamoja.Ila ushauri wangu wa bure ni huu,"afadhali umuamini Mungu halafu,ukute hayupo,kuliko usimuamini halafu ukute yupo,itakuwa kilio na kusaga meno."
Unajua maana ya kuamini hasa jambo ambalo huna uhakika nalo? Ni kukiri kwamba wewe ni mjinga, uko tayari kudanganywa.

Mimi sitaki kuamini.
 
But you do not loose anything by believing! Isn't it just commonsense that you should believe?Any way,you have a choice.
 
Unaonekana umeenda shule, rational and reasoned person.

Wakija hapa wafia dini wanaanza kudondosha vitisho, ujinga mwingi.

Nashukuru mkuu.
 
So kwa kuwa hawakufanya wakati huo,hawawezi kufanya sasa!Kwa lolote kuweza kufanikiwa,timing is very important,timing kwa maana kwamba lazima kuwe na the right circumstances na conditions.Haya hayakuwepo wakati huo,yapo sasa!
 
Unaonekana umeenda shule, rational and reasoned person.

Wakija hapa wafia dini wanaanza kudondosha vitisho, ujinga mwingi.

Nashukuru mkuu.
Nadhani huelewi concept ya kufia dini,even though thankyou for sharing.
 
Hiyo chanjo ni ya kwanza ambayo inaingizwa na ku alter DNA chanjo zingine zote huwa haziendi kwenye DNA .HAO WALIOANDIKA BARUA WAKO SAHIHI
 
Mungu haandikwi kwa herufi ndogo.sio mungu Ni Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…