A new member

A new member

Nimeimagine ndyo utaja hilo neno Kwa sauti mbele za watu, huo mshangao[emoji1] [emoji1]
Haha alafu nilikuwa naagiza kinywaji maana tulikuwa bar ndio jamaa akaniambia mwambie yule dada mbako indutu akiwa na maana niletee kinywaji kumbe kanidanganya yule dada alicheka akakimbia si nikajua hapa nishaharibu na jamaa huku anacheka hana mbavu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ,alikuuza vibayaa mbavu zangu kwahiyo ulitaka kuinywa hiyo Ind....tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom