A new member

A new member

Haha alafu nilikuwa naagiza kinywaji maana tulikuwa bar ndio jamaa akaniambia mwambie yule dada mbako indutu akiwa na maana niletee kinywaji kumbe kanidanganya yule dada alicheka akakimbia si nikajua hapa nishaharibu na jamaa huku anacheka hana mbavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu Sana..ila mliambiwa mkijiunga lazima mpost na picha zenu?
 
Back
Top Bottom