A new member

A new member

Wewe umetokea wapi wewe unatuabisha watu wa mbeya?. Nani amekuambia humu mnaletwa picha? Hii sio sehemu ya kujitangaza. Hayo mambo nenda huko Fb. Unajirengasha na picha ili upate nini?. Humu watu wanajadiri vitu vya msingi. Unasanifiwa ulete picha na wewe unakuja mbio na lipicha lako. Hujui tu hizi dakika chache ulizotumia hapa Jf kuweka weka mapicha picha yako inaweza kuwa ndio majuto yako ya mbele. Hapo tu umejitangaza ni mwanamke wa aina gani? Wameshakusoma tayari
Mkuu acha wivu hajavunja Sheria ya Nchi wala ya JF.
 
Back
Top Bottom