A new member

A new member

Amewaaibisha kivipi sasa.. Acha wivu mkuu .. Kwani akijitangaza kuna shida gani? Unampangia cha kupost kwa ume-mnunulia vocha...

Acha wivu mkuu... Jackline embu post picha nyingine jamaa afe kabisa
Check mnavyom-call,kienyeji kabisa. Nae anakuja kiboya kabisa na miguu yake
 
Wewe umetokea wapi wewe unatuabisha watu wa mbeya?. Nani amekuambia humu mnaletwa picha? Hii sio sehemu ya kujitangaza. Hayo mambo nenda huko Fb. Unajirengasha na picha ili upate nini?. Humu watu wanajadiri vitu vya msingi. Unasanifiwa ulete picha na wewe unakuja mbio na lipicha lako. Hujui tu hizi dakika chache ulizotumia hapa Jf kuweka weka mapicha picha yako inaweza kuwa ndio majuto yako ya mbele. Hapo tu umejitangaza ni mwanamke wa aina gani? Wameshakusoma tayari
Acha kuteseka dingi... mdada kaweka picha kiroho safi wewe usie mjua kinakuuma
 
Baada ya kuona hayo mapicha picha nimejikuta namkumbuka Husna the boss Lady. Teh teh teh.

All in all karibu mdada.
Pitia na hapa,soma. Kama una akili utajua anamaanisha nini? Na jinsi namma utakavyokumbukwa namna uliivyoingia
 
Back
Top Bottom